Skeli (kutoka Kiingereza: scale) kwenye ramani ni kipimo kinachoonyesha uwiano wa umbali kwenye ramani kwa umbali halisi duniani.
Uwiano huu hutajwa kwa kawaida kwa kuandika "1 : (kiwango cha skeli)".
Skeli | Umbali wa ramani | Umbali halisi | Matumizi |
---|---|---|---|
1:1.000 | sentimita 1 | m 10 | Ramani ya jengo au kiwanja |
1:10.000 | m 100 | Ramani ya mji | |
1:50.000 | m 500 | Ramani ya utalii wa kieneo | |
1:100.000 | km 1 | Atlasi ya dereva wa gari | |
1:200.000 | km 2 | Ramani ya kijeshi (Urusi) | |
1:500.000 | km 5 | Ramani ya kijeshi | |
1:1.000.000 | km 10 | Ramani ya mikoa, majimbo | |
1:2.500.000 | km 25 | Ramani ya nchi | |
1:80.000.000 | km 800 | Ramani ya Dunia yote |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Skeli, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.