Milioni

Milioni (1,000,000) au elfu elfu, ni namba ambayo inafuata 999,999 na kutangulia 1,000,001.

Inaandikwa pia 106.

Milioni
Kutoka 1 hadi milioni 1 kwa kuzidisha mara kumikumi.

Jina linatokana na lugha ya Kiitalia asili ambapo millione (milione katika Kiitalia cha kisasa) lina mzizi katika neno mille, "1000", likiongezea mnyambuliko -one unaodokeza ukubwa.

Kwa wingi wa milioni kuna kawaida tofauti ya kuzitaja baada ya milioni 999 yaani kuanzia milioni elfu moja au 109. Katika Afrika ya Mashariki wengi hufuata "skeli fupi" inayoita namba hii bilioni moja. Lakini katika vitabu vingi vya Kiingereza vya miaka iliyopita, pamoja na lugha nyingi za Ulaya ,namba hii huitwa "miliardi" na bilioni ni 1012.

Tazama pia

Tanbihi

Milioni  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Milioni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ElfuNamba

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa KataviUtandawaziRamaniNevaWizara ya Mifugo na UvuviPapaMapambano kati ya Israeli na PalestinaSikioVitendawiliKataShukuru KawambwaBungeViwakilishiYanga PrincessVita Kuu ya Pili ya DuniaKunguruOrodha ya Marais wa ZanzibarKiingerezaMuda sanifu wa duniaWilaya ya Nzega VijijiniIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Kiolwa cha anganiNguruwe-kayaWanyamaporiChama cha MapinduziTetekuwangaKoloniHaki za wanyamaKimara (Ubungo)Dodoma (mji)Mbaraka MwinsheheUNICEFWangoniKitenzi kikuu kisaidiziOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoDaktariUmoja wa MataifaBabeliKishazi huruDalufnin (kundinyota)UislamuVivumishi vya kuoneshaMtume PetroMuundo wa inshaSwalaMeno ya plastikiHistoria ya KiswahiliHistoria ya WapareFananiNomino za wingiAdolf HitlerHekaya za AbunuwasiHadithi za Mtume MuhammadNomino za pekeeFutiSumakuUjerumaniUandishi wa inshaUingerezaUzalendoMichezoFalsafaBarua rasmiRuge MutahabaMisemoRushwa🡆 More