Bilioni

Bilioni (kutoka Kiingereza billion) ni namba ambayo inamaanisha milioni elfu moja na kuandikwa 1,000,000,000.

Bilioni
Mchoro unaoonyesha bilioni kupitia michemraba A, B, C na D, ambapo A inaingia katika B, B katika C na C katika D.

Inafuata 999,999,999 na kufuatwa na 1,000,000,001.

Inaweza kuandikwa pia kifupi 1 × 109.

Kiambishi awali giga kinatumika pia kumaanisha mara 1,000,000,000, ingawa katika lugha nyingine nyingi neno linalofanana na "bilioni" linamaanisha milioni milioni (1,000,000,000,000).

Matumizi tofauti

Katika Kiingereza cha Uingereza hadi mwaka 1964 neno "milliard" lilikuwa kawaida kwa namba inayoitwa sasa "bilioni". "Bilioni" ilikuwa kawaida cha Kiingereza cha Marekani tu, lakini ilingia polepole pia katika matumizi ya Kiingereza cha kimataifa.

Mwaka 1974 serikali ya Uingereza ikaamua kutumia umbo hilo.

Kwa Kiingereza mifumo hii miwili kwa kutaja namba kubwa sana huitwa "short scale" (Kimarekani) na "long scale" (Kiingereza cha zamani).

Nchi nyingine, hasa za Ulaya, Afrika na Amerika ya Kilatini zimeendelea kutumia "long scale" kwa lugha kama Kifaransa, Kijerumani au Kihispania. Kwa hiyo katika nchi hizo 1,000,000,000 huitwa kwa neno kama "miliardi" na bilioni ni namba ya "milioni x milioni".

Tofauti inaweza kuleta mara nyingi makosa kama matini inatafsiriwa au kama kitabu cha kale kutoka Kiingereza hutumiwa.

Bilioni 
Matumizi ya mifumo ya "short scale" na "long scale" duniani

Tazama pia

Tanbihi

Bilioni  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bilioni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ElfuKiingerezaMilioniMojaNamba

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UtohoziUhifadhi wa fasihi simuliziAslay Isihaka NassoroKata za Mkoa wa Dar es SalaamHoma ya matumboFasihi andishiZabibuMatumizi ya LughaUmoja wa AfrikaFani (fasihi)WimboDawatiSarufiNgeliEe Mungu Nguvu YetuBiashara ya watumwaKenyaBiblia ya KikristoOrodha ya Marais wa MarekaniMalariaMtotoUzazi wa mpangoHistoria ya ZanzibarMauaji ya kimbari ya RwandaWabena (Tanzania)MofimuMgawanyo wa AfrikaWazaramoTungo sentensiViwakilishi vya kuoneshaDaktariKichochoAkiliHassan bin OmariUtawala wa Kijiji - TanzaniaJiniUlumbiArusha (mji)Kiwakilishi nafsiBukayo SakaAmfibiaUtumbo mwembambaMunguRose MhandoHistoria ya AfrikaTungo kiraiMaambukizi nyemeleziVivumishi vya kumilikiMtoto wa jichoLigi ya Mabingwa UlayaUtoaji mimbaMajira ya mvuaUchumiBurundiKisimaBinadamuHifadhi ya SerengetiTarakilishiGeorge WashingtonTanganyika African National UnionJamiiUtumbo mpanaRushwaJinaMaumivu ya kiunoAfrika KusiniJumuiya ya MadolaShuleMaradhi ya zinaaKiumbehaiMbooHistoriaProtiniWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiStafeliUnyevuanga🡆 More