Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Namba" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Namba (au nambari) ni dhana na lugha inayotumiwa kutofautisha idadi au kupima kiwango. Namba zinazojulikana zaidi ni zile namba asilia kama vile 1, 2... |
Namba za Kiroma (kwa Kiingereza: Roman numerals) ni mfumo wa tarakimu kwa kuandika namba jinsi ulivyokuwa kawaida wakati wa Roma ya Kale na katika mwandiko... |
Namba asilia (ing. natural numbers) katika hisabati ni namba zinazotumika kwa kuhesabu (kama hivi "kuna sarafu tatu mezani") na kwa kupanga (kama hivi... |
Namba tasa ni namba asilia isiyogawiwa kwa namba nyingine isipokuwa kwa 1 na kwa namba yenyewe. Kwa Kiingereza zaitwa "prime numbers". Mfano: 3 ni namba... |
Namba za Flamsteed (ing. Flamsteed designation) ni utaratibu wa kutaja nyota uliobuniwa na Mwingereza John Flamsteed aliyekuwa mkurugenzi wa kwanza wa... |
wakati kupitia namba za mitandao ya makampuni kwa namba kama 0624112233. Kupiga namba nje ya nchi inahitaji namba ya kimataifa. Namba za kimataifa hutanguliwa... |
Namba isiyowiana (kwa Kiingereza: en:irrational number) ni namba halisi ambayo haiwezi kuonyeshwa kama wianisho safi baina ya nambakamili. Mifano mashuhuri... |
Namba atomia inataja idadi ya protoni katika kiini cha atomi. Idadi ya protoni kwakawaida huwa sawa na idadi ya elektroni za mzingo elektroni hivyo namba... |
Saba ni namba ambayo inafuata sita na kutangulia nane. Kwa kawaida inaandikwa 7 lakini VII kwa namba za Kiroma na ٧ kwa zile za Kiarabu. 7 ni namba tasa... |
Namba 116 ni namba maalumu ya simu kwa ajili ya kutoa taarifa zinazohusiana na ukatili wa aina zote. Namba hiyo ipo chini ya mradi unaofadhiliwa na shirika... |
Kumi ni namba inayoandikwa 10 kwa tarakimu za kawaida lakini X kwa zile za Kirumi na ١٠ kwa zile za Kiarabu. Inafuata 9 na kutangulia 11. Vigawo vyake... |
Namba hasi katika hisabati ni namba halisi ambayo ni pungufu ya namba 0. Namba hasi huwakilisha kinyume. Kama namba chanya inawakilisha elekea kulia,... |
Usawa (hisabati) (elekezo toka kwa Namba shufwa na witiri) kila namba kamili (integer) iko katika moja ya makundi mawili: namba shufwa kama 2, 4, 6, 8 au namba witiri kama 1, 3, 5, 7. Kwa hiyo jumla ya namba kamili... |
alitofautisha namba halisi na namba changamano. Namba halisi zinajumuisha namba wiano, kama vile nambakamili −5 na sehemu 4/3, na namba zisizowiani, kipeo... |
Namba chanya katika hisabati ni namba halisi ambayo ni kubwa kuliko namba sifuri (0). Kinyume chake ni namba hasi. Kama namba chanya inawakilisha elekea... |
Namba kivunge (kwa Kiingereza composite number) ni namba asilia inayopatikana kwa kuzidisha namba tasa (prime numbers). Kwa mfano namba 9 inapatikana... |
Namba sanifu ya kimataifa ya vitabu (en:International Standard Book Number) inayojulikana kwa kifupi chake cha ISBN ni namba ya kipekee ya utambulisho... |
Namba changamano (kwa Kiingereza: en:complex number) ni aina ya namba ambazo zina sehemu mbili, ya kwanza ni namba halisi, na ya pili ni namba ya kufikirika... |
Pai (jina la herufi ya Kigiriki π) ni namba ya duara kwa maana ya uwiano wa urefu wa mzingo na ule wa kipenyo. Jinsi ilivyo kawaida kwa herufi mbalimbali... |
Tarakimu (Kusanyiko Namba) kuandika namba. Tarakimu zinazojulikana na kutumika zaidi duniani siku hizi ni 0, 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9. Alama hizo huitwa mara nyingi namba za Kiarabu... |