Namba Atomia: Idadi ya protoni zinazopatikana kwenye kiini cha atomi

Namba atomia inataja idadi ya protoni katika kiini cha atomi.

Idadi ya protoni kwakawaida huwa sawa na idadi ya elektroni za mzingo elektroni hivyo namba atomia inataja pia idadi ya elektroni.

Namba Atomia: Idadi ya protoni zinazopatikana kwenye kiini cha atomi
Dmitri Mendeleev, Mkemia wa Urusi na muundaji wa jedwali la upimaji/Radidia

Atomi zenye namba atomia ileile ni za elementi moja zikionyesha tabia zilezile za kikemia isipokuwa mara chache isotopi zinaweza kuwa na tofauti ndogo. Atomi zenye namba atomia ileile lakini zinazotofautiana katika masi kwa sababu ya tofauti katika idadi ya neutroni huitwa isotopi ya elementi moja.

Katika mfumo radidia elementi hupangwa kufuatana na namba atomia. Idadi ya protoni katika kiini haibadiliki.

Marejeo

Namba Atomia: Idadi ya protoni zinazopatikana kwenye kiini cha atomi  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Namba atomia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ElektroniMzingo elektroniProtoni

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Amri KumiHoma ya manjanoTelevisheniAfrikaMbeya (mji)Mafumbo (semi)UkweliMaktabaJamhuri ya Watu wa ChinaPaka-kayaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMwislamuHeshimaHakiWilaya ya NyamaganaDivaiDhamiraWanyamweziTamthiliaWilaya ya KinondoniMkoa wa KilimanjaroChanika (Ilala)Real MadridMaradhi ya zinaaSentensiMbuga za Taifa la TanzaniaMaajabu ya duniaSoko la watumwaTawahudiVitenzi vishirikishi vikamilifuKihusishiDNAMitume na Manabii katika UislamuUaMilango ya fahamuKiambishiElla PowellTungo kishaziWataru EndoVivumishi vya pekeeMuhammadIsimuHifadhi ya NgorongoroMsituOrodha ya nchi za AfrikaSildenafilShinikizo la juu la damuAdhuhuriHoma ya matumboLeonard MbotelaSemiOrodha ya nchi kufuatana na wakaziSaratani ya mlango wa kizaziUongoziMkonoBahashaBahari ya HindiVivumishi vya kumilikiOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaPius MsekwaMohamed HusseiniMkoa wa PwaniMichezoWapareUNICEFOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaKamusi elezoUtegemezi wa dawa za kulevyaNahauMaishaMkoa wa RukwaAwilo LongombaMagharibi🡆 More