Teluri (kutoka kilatini tellus "ardhi") ni nusumetali au metaloidi yenye namba atomia 53 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 127.60.
Teluri (tellurium) | |
---|---|
Fuwele ya teluri tupu yenye urefu wa 2 cm | |
Jina la Elementi | Teluri (tellurium) |
Alama | Te |
Namba atomia | 53 |
Mfululizo safu | Simetali |
Uzani atomia | 127.60 |
Valensi | 2, 8, 18, 18, 6 |
Densiti | 6.24 g/cm³ |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 722.66 K (449.51°C) |
Kiwango cha kuchemka | 1261 K (988 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 1 · 10-6 % |
Hali maada | mango |
Mengineyo |
Telluri ni elementi haba duniani. Ikitokea kwa umbo la fuwele ina rangi nyeupe-kifedha. Ni kechu lakini si gumu sana hivyo huvunjika haraka hadi kuwa vumbi. Hutokea pia kwa umbo la unga kahawia.
Hutumiwa hasa katika aloi mbalimbali na kama nusukipitisho.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Teluri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Teluri, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.