Valensi (kwa Kiingereza: valency au valence) ni istilahi ya kemia inayotaja nguvu ya atomu ya kuunda muungo kemia na atomu nyingine.
Inataja idadi ya miungo inayoweza kuundwa baina ya atomu ya elementi fulani pamoja na hidrojeni (iliyo elementi sahili zaidi).
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Valensi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Valensi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.