Waraka

Waraka (kwa Kiingereza: document) ni hati yenye taarifa maalumu.

Kwa kawaida, siku hizi waraka unaandikwa katika karatasi.

Waraka
Waraka wa karatasi.

Katika Biblia ya Kikristo mna nyaraka mbalimbali ambazo pamoja na barua zinafikia idadi ya 21, kwa mfano: Waraka kwa Waebrania.

Katika utarakilishi, waraka pepe (kwa Kiingereza: electronic document) ni hati pepe inayotumika katika tarakalishi. Waraka pepe ni kama waraka wa kawaida ila data ni za elektroniki.

Marejeo

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).

Tags:

HatiKaratasiKiingerezaTaarifa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UtanzuMatendo ya MitumeHafidh AmeirNgano (hadithi)NandyMkoa wa SimiyuMbogaSongea (mji)Wingu (mtandao)Uundaji wa manenoLady Jay DeeTeknolojiaOsama bin LadenMichezoJamhuri ya Watu wa ChinaAl Ahly SCWayahudiMaliasiliOrodha ya Marais wa MarekaniDhorubaVivumishiAmani Abeid KarumeManchester CityMkoa wa MorogoroNg'ombeZama za MaweKamusi za KiswahiliMajiKenyaMsichanaShetaniUgirikiWilaya ya NyamaganaHali ya hewaUsawa (hisabati)HaitiBikiraWamasaiSemiDNASakramentiRita wa CasciaFacebookKiswahiliUzalendoMashuke (kundinyota)Vielezi vya idadiUtumbo mwembambaKishazi huruOrodha ya visiwa vya TanzaniaHistoria ya WapareMalariaJanuary MakambaHoma ya manjanoNgonjeraKiharusiNguruwe-kayaSanaaMethaliMaradhi ya zinaaWanyakyusaParachichiHadithi za Mtume MuhammadUhuruLahaja za KiswahiliMwanamkeTambikoMaigizo🡆 More