Waraka Wa Pili Wa Yohane

Waraka wa pili wa Yohane ni kitabu kifupi kuliko vyote 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo.

Agano Jipya

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Mwandishi

Kuanzia karne ya 5 mapokeo yamemtaja Mtume Yohane kuwa mwandishi wa barua hii, kwa sababu yaliyomo, misamiati na mtindo wa mawazo vinalingana na vile vya Waraka wa kwanza wa Yohane. Lakini barua yenyewe inamtaja tu "mzee" kuwa mwandishi wake.

Mahali na muda wa uandishi

Sawa na maandishi mengine ya jumuia za Yohane, barua hiyo inafikiriwa kuandikwa mwishoni mwa karne ya 1 huko Efeso ili kuangalisha dhidi ya wazushi. Katika barua hii linaonekana kwa mara ya kwanza jina la "Mpingakristo".

Walengwa

Walengwa ni Wakristo wa Kanisa linaloitwa "Bibi mteule".

Marejeo

  • Robert Dabney, "The Doctrinal Various Readings of the New Testament Greek", 1894: p. 32.

Kiungo cha nje

  • [1] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
Waraka Wa Pili Wa Yohane  Makala hii kuhusu mambo ya Agano Jipya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waraka wa pili wa Yohane kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Waraka Wa Pili Wa Yohane MwandishiWaraka Wa Pili Wa Yohane Mahali na muda wa uandishiWaraka Wa Pili Wa Yohane WalengwaWaraka Wa Pili Wa Yohane MarejeoWaraka Wa Pili Wa Yohane Kiungo cha njeWaraka Wa Pili Wa YohaneAgano JipyaBiblia ya KikristoKitabu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya nchi za AfrikaHerufiUlemavuSemiSensaUkwapi na utaoShinikizo la ndani ya fuvuThabitiMgawanyo wa AfrikaMaumivu ya kiunoMuda sanifu wa duniaUtawala wa Kijiji - TanzaniaMbossoMalariaKiunguliaMawasilianoVisakaleKiangaziChris Brown (mwimbaji)Mbeya (mji)Everest (mlima)BinamuKanisa KatolikiUislamu kwa nchiKenyaSumbawanga (mji)Vipaji vya Roho MtakatifuSaa za Afrika MasharikiMjasiriamaliUandishi wa ripotiMwanzoPundaMitume na Manabii katika UislamuHisiaKitufeKombe la Mataifa ya AfrikaNileUzalendoUgirikiAgano JipyaNambaFasihiNdege (mnyama)MbonoMadhara ya kuvuta sigaraMuungano wa Tanganyika na ZanzibarRafikiMeliMaambukizi nyemeleziOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaMkoa wa PwaniUkraineRaiaKombe la Dunia la FIFATausiMwanga wa juaElimuShinikizo la juu la damuMsituTaifa StarsNyokaProtiniOrodha ya volkeno nchini TanzaniaJioniJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaKamusiCédric BakambuZuhuraChuraJuaNdovuJohn MagufuliViunganishiAlfabetiMkoa wa Unguja Mjini Magharibi🡆 More