Orodha Ya Volkeno Nchini Tanzania

Hii ni orodha ya volkeno nchini Tanzania zilizokuwa hai katika kipindi cha miaka milioni 2.5 iliyopita.

Tanzania inapitiwa na Bonde la Ufa ambako bamba la Afrika linaelekea kupasuka. Katika eneo hili ganda la dunia si nene kama kawaida na magma kutoka chini haina njia ndefu ya kufika juu. Hivyo volkeno za Tanzania ziko kwenye bonde la Ufa au kando lake.

Picha Jina Mkoa Aina ya volkeno Tarehe ya mlipuko wa mwisho Kimo [m] Majira jio
Milima ya Igwisi Tabora Pia majivu haijulikani 1145 4°52′S 31°55′E / 4.87°S 31.92°E / -4.87; 31.92
Kieyo Mbeya Volkenostrato mnamo 1800 2175 9°14′S 33°47′E / 9.23°S 33.78°E / -9.23; 33.78
Orodha Ya Volkeno Nchini Tanzania Kilimanjaro Kilimanjaro Volkenostrato haijulikani 5895 3°04′S 37°21′E / 3.07°S 37.35°E / -3.07; 37.35
Orodha Ya Volkeno Nchini Tanzania Mlima Meru Arusha Volkenostrato 1910 4565 3°15′S 36°45′E / 3.25°S 36.75°E / -3.25; 36.75
Orodha Ya Volkeno Nchini Tanzania Ngozi Mbeya Kasoko mnamo 1450 ± miaka 40 2622 8°58′S 33°34′E / 8.97°S 33.57°E / -8.97; 33.57
Orodha Ya Volkeno Nchini Tanzania Ol Doinyo Lengai Arusha Volkenostrato 2010 2962 2°45′50″S 35°54′50″E / 2.764°S 35.914°E / -2.764; 35.914
Hanang Manyara Volkenostrato Pleistocene 3417 4°16′S 35°14′E / 4.26°S 35.24°E / -4.26; 35.24

Volkeno nyingine ni:

Jina Kimo Mahali Mlipuko wa mwisho
mita futi Majiranukta
Burko - - - -
Embulbul - - - -
Ela Nairobi (Embagai) 3,235 - 2°54′S, 35°48′E -
Esimingor - - - -
Gelai - - - -
Izumbwe-Mpoli 1568 5144 8°56′S 33°24′E / 8.93°S 33.40°E / -8.93; 33.40 Holocene
Ketumbaine - - - -
Lemagrut - - - -
Loolmalasin 3682 - - -
Ngorongoro - - 3°09′S 39°18′E / 3.15°S 39.30°E / -3.15; 39.30 -
Oldeani - - - -
Ololmoti - - - -
Olossirwa - - - -
Usio na jina - - 8°38′S 33°34′E / 8.63°S 33.57°E / -8.63; 33.57 Holocene
Bonde la Usangu 2179 7149 8°45′S 33°48′E / 8.75°S 33.80°E / -8.75; 33.80 Holocene

Tanbihi

Viungo vya nje

Tags:

Bamba la AfrikaGanda la duniaMagmaMilioniTanzaniaVolkeno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mlo kamiliZakaNyegereNomino za wingiPink FloydAla ya muzikiPikipikiUnyenyekevuMuziki wa dansi wa kielektronikiDiraDubai (mji)MalariaAlama ya uakifishajiUtegemezi wa dawa za kulevyaPonografiaKinembe (anatomia)UtumwaJinsiaPunyetoIsraelSumbawanga (mji)JumaInjili ya MathayoJidaSaa za Afrika MasharikiDesturiKitomeoLilithMitume wa YesuNgw'anamalundi (Mwanamalundi)Vincent KigosiWayahudiNambaMpwaChadHistoria ya ZanzibarKumamoto, KumamotoMsumbijiBarua rasmiInstagramChumaIsraeli ya KaleDubaiMadiniKipajiJamhuri ya Watu wa ZanzibarPanziAzimio la kaziNimoniaOrodha ya nchi za AfrikaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLugha rasmiSomaliaUfupishoNchiNyangumiMwanzoDiego GraneseOrodha ya Marais wa UgandaLafudhiNamibiaDKiingerezaMafurikoShinikizo la ndani ya fuvuStephen WasiraUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiUkooBunge la Umoja wa AfrikaDhima ya fasihi katika maishaUaminifuUhakiki wa fasihi simuliziKamala HarrisKodi (ushuru)Mwanga wa juaKonsonanti🡆 More