Israel

Kwa maana mbalimbali za jina Israeli katika Biblia tazama Israeli (maana)

Israel


Israel (kwa Kiebrania: מדינת ישראל - Medinat Yisra'el; kwa Kiarabu: دَوْلَةْ إِسْرَائِيل - dawlat Isrā'īl) ni nchi ya Mashariki ya Kati kwenye mwambao wa mashariki wa Mediteranea.

Imepakana na Lebanon, Syria, Yordani, Misri na maeneo yaliyo chini ya mamlaka ya serikali ya Palestina.

Historia

Nchi ya kisasa ilianzishwa tarehe 14 Mei 1948 lakini nyuma kuna historia ndefu, ambayo kwa sehemu muhimu inasimulia na Biblia kama kiini cha historia ya wokovu.

Mji mkuu umekuwa Yerusalemu tangu mwaka 1950 lakini nchi nyingi hazikubali kuwa hivyo kwa sababu hali yake kadiri ya Sheria ya kimataifa haieleweki.

Watu

Takriban 74.9% za wakazi ni Wayahudi ambao wengi wao wanafuata dini ya Uyahudi, na 20.7 % ni Waarabu ambao wengi ni Waislamu (16%) lakini pia Wakristo (2% za raia wote: kati ya Wakristo hao karibu 80% ni Waarabu). Wahamiaji wengi wasiopata uraia ni Wakristo.

Lugha rasmi ni Kiebrania na Kiarabu. Lugha nyingine zinazotumika sana nyumbani ni Kirusi, Kifaransa na Kiamhari, mbali ya Kiingereza.

Tazama pia

Viungo vya nje

Israel 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


Israel  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Israel kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Israel HistoriaIsrael WatuIsrael Tazama piaIsrael Viungo vya njeIsraelBibliaIsraeli (maana)

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Barack ObamaMaadiliVivumishi vya urejeshiAfeliUrusiUenezi wa KiswahiliUsafi wa mazingiraMkoa wa MorogoroJongooSaratani ya mlango wa kizaziNamba tasaJiniLugha rasmiFalme za KiarabuSintaksiHoma ya mafuaMafua ya kawaidaMatiniDaudi (Biblia)MaktabaKombe la Dunia la FIFAVielezi vya namnaJKT TanzaniaOrodha ya nchi za AfrikaMaudhui katika kazi ya kifasihiMpira wa miguuCleopa David MsuyaOrodha ya Marais wa ZanzibarAlmasiUtamaduniKata za Mkoa wa Dar es SalaamMmomonyokoMnyoo-matumbo MkubwaMofuMapinduzi ya ZanzibarNominoKupatwa kwa JuaLigi ya Mabingwa AfrikaBruce LeeKidole cha kati cha kandoMoses KulolaHistoriaVivumishiAli KibaIsraeli ya Kale23 ApriliWikiBaruaSumbawanga (mji)PasifikiNguvaDiniVielezi vya wakatiTrilioniWaheheVivumishi vya kuoneshaUmaskiniMuungano wa Tanganyika na ZanzibarBob MarleyDagaaMauaji ya kimbari ya RwandaBinamuLimauMeja JeneraliWairaqwMwanamkeNembo ya TanzaniaSemiWema SepetuManchester United F.C.VieleziMariooFananiMkataba wa Helgoland-ZanzibarAina za maneno🡆 More