Jongoo

Nusungeli:

Jongoo
Majongoo panda wakijamiiana
Majongoo panda wakijamiiana
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Faila: Arthropoda
Nusufaila: Myriapoda
Ngeli: Diplopoda
Ngazi za chini

  • Penicillata
  • Chilognatha
  • †Arthropleuridea

Majongoo ni aina za arithropodi wembamba na warefu katika ngeli Diplopoda ya nusufaila Myriapoda wenye miguu mingi. Wanafanana kijuujuu na tandu lakini hawa huenda mbio na hula wanyama wengine (invertebrati na vertebrati). Majongoo huenda polepole na hula dutu ya viumbehai, viani na kuvu.

Hata kama kwa Kiingereza majongoo huitwa millipedes (miguu elfu) na tandu huitwa centipedes (miguu mia), kwa ukweli wana idadi karibu sawa ya miguu: tandu wana miguu 16 hadi 300 na majongoo 36 hadi 750.

Spishi kadhaa za Afrika

  • Archispirostreptus gigas, Jongoo Panda (Giant African millipede)
  • Kylindotherium leve, Jongoo-tufe wa Witrivier
  • Phryssonotus brevicapensis, Jongoo-nywele wa Mlima wa Meza
  • Sphaerotherium giganteum, Jongoo-tufe Kusi
  • Spirostreptus seychellarum, Jongoo Panda wa Shelisheli

Picha

Jongoo  Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jongoo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Hifadhi ya mazingiraMkoa wa PwaniWizara za Serikali ya TanzaniaIntanetiNdiziWanyamboShinikizo la ndani ya fuvuOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaPumuMobutu Sese SekoDUaminifuMivighaKibodiUandishi wa inshaAli Mirza WorldVasco da GamaVieleziViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Ee Mungu Nguvu YetuNgoziWimboUtamaduniVita ya Maji MajiNomino za dhahaniaShelisheliMtende (mti)SakramentiMshororoAbedi Amani KarumeDaktariUkraineVita Kuu ya Pili ya DuniaBendera ya TanzaniaBaraMkwawaMweziMkoa wa ShinyangaAbd el KaderUKUTACédric BakambuBibliaKamusi za KiswahiliWahayaMandhariMwaniMuzikiUkabailaStadi za lughaMzeituniAlama ya uakifishajiAlomofuVipaji vya Roho MtakatifuNdoaMenoKipandausoKifo cha YesuDiamond PlatnumzIsimujamiiSikioJinaUtegemezi wa dawa za kulevyaMkoa wa MbeyaUbongoSalaKengeMagonjwa ya machoPunyetoMilaMlongeMtakatifu PauloKunguniDioksidi kaboniaKabilaNdoa ya jinsia mojaRose Mhando🡆 More