Muziki

Muziki ni aina ya sanaa inayotumia sauti mbalimbali: za kibinadamu na za ala za muziki, ama kwa pamoja au kila moja pekee.

Muziki
Zumari ya miaka 41,000 iliyopita iliyotengenezwa kwa mfupa.
Muziki
Mchoro wa Ugiriki wa Kale juu ya chombo ukionyesha kipindi cha muziki (510 KK hivi).

Asili ya neno iko katika lugha ya Kigiriki ambamo huitwa μουσική (mousikee).

Baadhi ya sifa za muziki ni uzito wa sauti (pitch) na wizani au mahadhi (rhythm).

Aina ya muziki inayopatikana kote duniani ni nyimbo ambazo ni maneno yanayotolewa kwa sauti na mahadhi fulani mara nyingi pamoja na ala za muziki. Kwa wanaorekodi sauti, wao huenda kwa studio kurekodi na huchukuliwa kwa kinasasauti kilichoambatanishwa na tarakilishi na kudhibitiwa na kompresa.

Wanamuziki maarufu wa Afrika

Wanamuziki maarufu wa Ulaya

  • Dua Lipa, Little Mix, Coldplay, One Direction, Ellie Goulding, Tinie Tempah, Dizzee Rascal, Skepta, Charli XCX, Calvin Harris, Stormzy, Jax Jones (Ufalme wa Muungano)
  • Felix Jaehn, Nena, Kay One, Alex C, Alle Farben, Eko Fresh, Bausa, Dagi Bee, Capital Bra, Robin Schulz, Bushido, Namika, Scooter, Rammstein, Kraftwerk, Zedd, 187 Strassenbande, Marc Engelhard, Bonez MC, Gzuz (Ujerumani)
  • Cleo, Doda, Sitek, Natalia Nykiel, Ewelina Lisowska, Sokół, Tede, Donguralesko, Margaret, Donatan, Gromee, Sławomir, Zespol Akcent, Taconafide, C-BooL (Poland)
  • Timati, Feduk, T.A.T.u., Max Korzh, Gamora, Oxxxymiron, Serebro, Rompasso, Gorky Park, Filatov & Karas, Vremya i Steklo, Allj, Algie & Kravtsov (Urusi)
  • Álvaro Soler, Enrique Iglesias, Rels B (Hispania)
  • Black M, Willy William, Stromae, Maître Gims, Indila, Kendji Girac, Daft Punk, Imany, David Guetta, Soprano, Martin Solveig (Ufaransa)
  • Andrea Bocelli, Gigi D'Agostino, Ghali, Francesco Gabbani, J-AX, Alex Gaudino, Fedez, Guè Pequeno, Benny Benassi, Marracash, Sfera Ebbasta, Tacabro (Italia)
  • Inna, Alexandra Stan, Elena, Dan Balan, G Girls, Akcent, Sandu Ciorba, Morandi (mwanamuziki) (Romania)
  • Ektor, Rest, Krystof, Slza, Atmo Music, Helena Vondrackova (Ucheki)
  • Kontrafakt, Celeste Buckingham, Rytmus, Majk Spirit (Slovakia)
  • Ruslana, Jamala, Pianoboy, Alekseev, Monatik, VovaZIL'Vova, TNMK, Seryoga, Yarmak (Ukraine)
  • ABBA, Zara Larsson, Swedish House Mafia, Danny Saucedo, Basshunter, Loreen, Galantis, Cherrie, Thrife, DJ Black Moose, Lykke Li (Uswidi)
  • Kygo, Alan Walker, Sigrid, Marcus & Martinus, Madcon, Jesper Jenset (Norwei)
  • The Rasmus, Alma, Nightwish, Lordi (Ufini)
  • Tiësto, Afrojack, Hardwell, Martin Garrix, Armin van Buuren, Nicky Romero, Sbmg, Boef, Laidback Luke, Oliver Heldens, Natalie La Rose (Uholanzi)

Picha

Viungo vya nje

Muziki 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Muziki  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muziki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Muziki Wanamuziki maarufu wa AfrikaMuziki Wanamuziki maarufu wa UlayaMuziki PichaMuziki Viungo vya njeMuzikiAla za muzikiSanaaSauti

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

TabataUrenoItifakiViunganishiNjia ya MachoziMkanda wa jeshiIdhaa ya Kiswahili ya Radio TehranMfumo wa homoniAgostino wa HippoZana za kilimoUjamaaNyegereMsongolaMkoa wa MbeyaMalariaMkoa wa KataviKitenzi kikuu kisaidiziTanzaniaHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKiswahiliNusuirabuNdege (mnyama)ZuliaUundaji wa manenoKunguniUsawa (hisabati)TarafaSamia Suluhu HassanTanganyikaJumuiya ya Afrika MasharikiChakulaMaji kujaa na kupwaViwakilishi vya kuulizaMisemoKipazasautiApril JacksonMbuga wa safariWaluguruMichezo ya watotoKampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya MasharikiDhamiraBibliaTeknolojiaDiniIsimujamiiLatitudoVivumishi vya kuoneshaSaidi NtibazonkizaMillard AyoMaambukizi ya njia za mkojoWamasoniHistoriaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziUgonjwaPentekosteSemiUturukiReal MadridUendelevuZama za ChumaOrodha ya volkeno nchini TanzaniaMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaMajiMahakama ya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMalebaKiwakilishi nafsiAbedi Amani KarumeUkwapi na utaoMimba kuharibikaMazingiraNelson MandelaKitenzi kikuuUislamuUlemavu🡆 More