Arithropodi

Arthropodi ni kundi kubwa la wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo.

Arithropodi
Maumbile ya mdudu
Maumbile ya mdudu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda
Ngazi za chini

Mifano ni wadudu, nge, buibui au kaa. Katika uainishaji wa kisayansi wamejumlishwa katika faila ya Arthropoda.

Wote huwa na kiunzi cha nje kinachoundwa na khitini.

Spishi nyingi ni ndogo, hata chini ya mm 1 lakini spishi kadhaa ni kubwa sana, hadi zaidi ya m 1. K.m. kaa wa Japani anaweza kufikia uzito wa kilogramu 15-20. Faila hii ina spishi nyingi sana zinazopatikana kila sehemu ya dunia. Vifundo vya arithropodi ni kama vipashio vilivyounganishwa kuleta mtiririko wa mwili wao.

Uainishaji

Mwainisho wa kawaida wa arithropodi unaonyeshwa katika sanduku la uainishaji. Lakini tangu mwanzo wa karne hii miainisho mibadala imependekezwa. Pendekezo la hivi karibuni ni hili (vifundo havikupewa tabaka):

  • Chelicerata
  • Kifundo bila jina
    • Myriapoda
    • Pancrustacea
      • Oligostraca
        • Ostracoda
        • Ichthyostraca
          • Mystacocarida
          • Kifundo bila jina
            • Pentastomida
            • Branchiura
      • Kifundo bila jina
        • Multicrustacea
          • Malacostraca
          • Hexanauplia
            • Copepoda
            • Thecostraca
        • Allotriocarida
          • Kifundo bila jina
            • Cephalocarida
            • Branchiopoda
          • Kifundo bila jina
            • Remipedia
            • Hexapoda

Picha

Marejeo

Viungo vya nje

Arithropodi 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Arithropodi  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arithropodi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Arithropodi UainishajiArithropodi PichaArithropodi MarejeoArithropodi Viungo vya njeArithropodiBuibuiFailaKaaMiguuMwiliNgeUainishaji wa kisayansiWaduduWanyama

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UturukiHistoriaHadhiraMkanda wa jeshiMtakatifu MarkoOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaWilaya ya Unguja Magharibi AMkoa wa ArushaJumuiya ya MadolaTiktokMkoa wa TaboraBungeAgano JipyaMkoa wa IringaNgeliFacebookKata (maana)Meli za mizigoBiblia ya KikristoMilaWangoniLigi Kuu Uingereza (EPL)Mamba (mnyama)Moses KulolaMwigizajiPichaMaudhuiJiniHistoria ya BurundiMobutu Sese SekoKonsonantiKiambishi awaliUchawiNyotaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiZama za ChumaKataMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaSaida KaroliBikiraMuhammadWairaqwFonimuAina za ufahamuNenoBagamoyo (mji)Selemani Said JafoKunguniMajira ya mvuaMkataba wa Helgoland-ZanzibarEdward SokoineAndalio la somoArsenal FCWazaramoJakaya KikweteUwanja wa Taifa (Tanzania)MwakaBarabaraTreniDiniMatumizi ya lugha ya KiswahiliAla ya muzikiUenezi wa KiswahiliMeridianiMariooUmaskiniMatendeKamusi za KiswahiliMichael JacksonMtakatifu PauloNamba ya mnyamaWikipediaMkoa wa Dar es SalaamMfumo wa Jua🡆 More