Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Uainishaji wa kisayansi (ing. biological classification, taxonomy) ni jinsi wataalamu wa biolojia wanavyopanga viumbehai kama mimea na wanyama kwa vikundi... |
mwaka 1753 kwa Kilatini na kuwa msingi wa uainishaji wa kisayansi katika biolojia hadi leo. Utaratibu wa uainishaji wa wanyama na mimea ulioanzishwa na Carl... |
Jenasi (Kusanyiko Uainishaji) Kilatini genus "nasaba, ukoo, familia, aina") ni ngazi katika uainishaji wa kisayansi unaopanga viumbehai (mimea, wanyama) katika vikundi kulingana na... |
Oda (Kusanyiko Uainishaji) Oda ni ngazi katika uainishaji wa kisayansi wa viumbehai. Oda ya wanyama au mimea hujumlisha familia mbalimbali zilizo karibu. Kwa mfano familia ya Felidae... |
Familia (biolojia) (Kusanyiko Uainishaji) Familia ni ngazi katika uainishaji wa kisayansi wa viumbehai. Familia ya wanyama au mimea hujumlisha spishi mbalimbali zilizo karibu. Kwa mfano paka-kaya... |
nje. Katika uainishaji wa kisayansi Kodata ni faila ya wanyama (Animalia). Nusufaila yenye spishi nyingi ni Vertebrata. Hapa mhimili wa kati unaendelea... |
Spishi (Kusanyiko Uainishaji) jina la kutaja kundi la wanyama au mimea wa aina moja. Spishi ni kitengo muhimu katika uainishaji wa kisayansi. Kwa kuhesabiwa katika spishi ileile haitoshi... |
Faila (Kusanyiko Uainishaji) yaani: kabila, ukoo; pia: "kabila") katika biolojia ni ngazi ya uainishaji wa kisayansi iliyopo baina ya himaya na ngeli. Kwa Kiingereza faila huitwa "phylum"... |
Arithropodi (fungu Uainishaji) wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo. Mifano ni wadudu, nge, buibui au kaa. Katika uainishaji wa kisayansi wamejumlishwa... |
wanahusiana kati yao. Zoolojia imeunda mfumo wa kupanga wanyama wote kwa vikundi (uainishaji wa kisayansi) na kuendeleza utaratibu huu. Wanazoolojia kwa... |
Nusufamilia (Kusanyiko Uainishaji) Nusufamilia (kwa Kilatini: subfamilia, wingi subfamiliae) katika uainishaji wa kisayansi ni ngazi ya kati chini ya familia lakini juu ya jenasi. Majina... |
Carl Linnaeus (Kusanyiko Uainishaji) utaratibu wa taksonomia au uainishaji wa mimea na wanyama katika vikundi mbalimbali na kuvipa majina ya kisayansi. Linnaeus alizaliwa kama mtoto wa mchungaji... |
Wanyama hao wanafanana na kangaruu lakini ni wadogo zaidi. Katika uainishaji wa kisayansi walabi wapo katika familia moja pamoja na kangaruu. Huainisha katika... |
wanafana na wadudu lakini wana miguu nane badala ya sita. Katika uainishaji wa kisayansi wamepangwa kama oda kati ya arithropoda. Aina kati yao zinazojulikana... |
Kuvu (fungu Uharibifu wa majengo) Kuvu (jina la kisayansi kutoka Kilatini: Fungi) ni kiumbehai ambacho si mmea wala mnyama. Uainishaji wa kisayansi unavipanga katika himaya ya pekee ndani... |
Homo ni jenasi ambayo katika uainishaji wa kisayansi inajumlisha binadamu na spishi zilizokwishakoma zilizofanana naye sana kibiolojia. Wanasayansi wamependekeza... |
- vikundi vya viumbehai kama wanyama wanaopangwa pamoja katika uainishaji wa kisayansi Kundi mbalimbali za vitu, magimba na kadhalika zinazopangwa pamoja... |
Manjano ni unga wa mizizi ya mmea kutoka Asia ya Kusini Mashariki unaoitwa Curcuma longa kwa jina la kisayansi. Majani Maua Mzizi na unga... |
Chui wa Tasmania (kutoka Kiing.: Tasmanian tiger) au thilasini (kutoka Kilatini: thylacinus, Kisayansi: Thylacinus cynocephalus) ni spishi iliyokwisha... |
Jagwa (elekezo toka kwa Chui wa Amerika) Jagwa (kutoka Kireno: jaguar, Kisayansi: Panthera onca) au chui wa Amerika ni mnyama mbuai mkubwa kama chui anayeishi Amerika na aliye na manyoya ya manjano... |