Jenasi

Jenasi (kutoka Kigiriki Γένος genos / Kilatini genus nasaba, ukoo, familia, aina) ni ngazi katika uainishaji wa kisayansi unaopanga viumbehai (mimea, wanyama) katika vikundi kulingana na nasaba zao.

Jenasi
Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi

Jenasi moja huwa na spishi ndani yake. Jenasi kwa pamoja hupangwa katika familia.

Katika jina la Kisayansi la kiumbehai ni lazima kutaja jenasi. Kwa mfano paka anaitwa "Felis silvestris catus". Felis ni jina la jenasi. Jenasi huandikwa kwa herufi kubwa.

Maelezo

Jenasi  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jenasi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KigirikiKilatiniMimeaUainishaji wa kisayansiViumbehaiWanyama

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Benjamin MkapaUandishiMaigizoMaliasiliUhifadhi wa fasihi simuliziNungununguUkristoChawaNahauReal MadridLugha za KibantuMajigamboMkoa wa LindiNyegeNusuirabuMbuga za Taifa la TanzaniaVitendawiliMisemoMaajabu ya duniaLongitudoWanyamaporiSkeliHistoria ya AfrikaHaki za binadamuHistoria ya Kanisa KatolikiVihisishiAla ya muzikiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniHisiaShuleHerufiVita ya AbushiriVitenzi vishiriki vipungufuMisaArudhiFalme za KiarabuWaluoFonetikiNdovuKifaaAslay Isihaka NassoroMkoa wa IringaMkoa wa ManyaraMkataba wa Helgoland-ZanzibarMkoa wa ShinyangaAntibiotikiUsafi wa mazingiraZiwa ViktoriaViwakilishi vya sifaOrodha ya nchi za AfrikaWapogoloSilabiViganoMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaLady Jay DeeMkoa wa MbeyaMkoa wa GeitaMfumo wa JuaMahakama ya TanzaniaGazetiHistoria ya WapareFalsafaUjuziMr. BlueHifadhi ya Taifa ya NyerereMichezo ya watotoKinyongaHistoria ya KanisaRushwaMunguMnara wa BabeliKilatiniKinjikitile NgwaleNdoa🡆 More