Matumizi ya lugha ya Kiswahili ni kama ifuatavyo.
1. Kiswahili hutumika katika kufundishia shule za msingi isipokuwa lugha ya Kiingereza hufundishwa kama somo.
2. Kiswahili hutumika katika vyombo vya habari, mfano redio na runinga.
3. Kiswahili hutumika katika nyanja mbalimbali za kiserikali, mfano Mahakama ya mwanzo na ya kati.
4. Pia Kiswahili hutumika kama somo katika shule za sekondari hadi chuo kikuu.
5. Kiswahili hutumika katika shughuli za michezo mbalimbali.
6. Kiswahili hutumika katika nyumba za ibada kutolea mawaidha na mahubiri, mfano kanisani na msikitini.
7. Pia Kiswahili hutumika katika shughuli za kibiashara kama lugha ya mawasiliano miongoni mwa watu.
8. Kiswahili hutumika katika shughuli za kiofisi.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Matumizi ya lugha ya Kiswahili, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.