Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Wadudu" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Wadudu wa kweli (tazama mdudu) ni kundi la arithropodi wadogo kiasi ambalo lina spishi nyingi duniani. Kibiolojia wako katika ngeli ya Insecta. Wadudu... |
Popo-wadudu ni aina za popo wanaowinda wadudu hasa. Kibiolojia ni mamalia wa nusuoda Yangochiroptera katika oda Chiroptera wanaofanana na panya wenye mabawa... |
Mdudu (Kusanyiko Wadudu) waitwao “wadudu” wana miguu kwa kawaida (k.m. buibui, nge, jongoo au wadudu wa kweli). Lakini hata wanyama wadogo bila miguu huitwa wadudu kwa lugha... |
Kundi (fungu Kundi la wadudu) kundi hili la wadudu wapo wadudu wa aina tofauti tofauti, wapo wadudu watambaao pia wapo wadudu warukao angani. Katika hili pia kundi la wadudu huwepo kwa... |
Mdudu Mabawa-nusu (Kusanyiko Wadudu mabawa-nusu) Wadudu mabawa-nusu ni wadudu wadogo sana hadi wakubwa kiasi wa oda Hemiptera katika nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Jina ni tafsiri ya jina la kisayansi... |
Mdudu Mdomo-ndani (Kusanyiko Wadudu mdomo-ndani) Wadudu mdomo-ndani ni arithropodi wadogo walio na mnasaba na wadudu wa kweli. Ngeli hii ina oda tatu: wadudu mkia-fyatuo (Collembola), wadudu mikia-miwili... |
Mdudu Shingo-ngamia (Kusanyiko Wadudu shingo-ngamia) yao ni kama yale ya wadudu mabawa-vena, oda ambaye ndani yake wadudu hawa waliainishwa zamani. Wao ni wadudu mbuai na hula wadudu wengine wadogo, k.m... |
Mdudu Mabawa-mawili (Kusanyiko Wadudu mabawa-mawili) Wadudu mabawa-mawili ni wadudu wadogo wa oda Diptera (di = mbili, ptera = mabawa) ambao wana mabawa mawili tu. Wadudu wengine wana mabawa manne au hawana... |
Mdudu Siku-moja (Kusanyiko Wadudu siku-moja) Wadudu siku-moja ni wadudu wa oda Ephemeroptera (ephemeros = -a muda mfupi, ptera = mabawa) katika nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Wadudu hawa huishi... |
Mdudu Mabawa-marefu (Kusanyiko Wadudu mabawa-marefu) Wadudu mabawa-marefu ni wadudu wadogo wa oda Mecoptera (mèkos = urefu, ptera = mabawa) katika nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Familia muhimu za oda... |
Mdudu Mabawa-potwa (Kusanyiko Wadudu mabawa-potwa) Wadudu mabawa-potwa ni wadudu wadogo wa oda Strepsiptera (strepsis = iliyopotwa, ptera = mabawa) wenye mabawa yaliyopotwa. Wadudu hawa ni wadusia wa wadudu... |
Wadudu-kibibi (kutoka Kiing. lady beetle) ni mbawakawa wa familia Coccinellidae katika oda Coleoptera walio na madoa kwa kawaida. Mara nyingi madoa ni... |
Mdudu-kijiti (Kusanyiko Wadudu-kijiti) Wadudu-kijiti au vijiti vitembeavyo ni wadudu warefu wa oda Phasmatodea (phasma = kizuka) ambao wanafanana na vijiti. Wadudu-jani au majani matembeayo... |
Mdudu Mabawa-viwambo (Kusanyiko Wadudu mabawa-viwambo) Wadudu mabawa-viwambo ni wadudu wadogo sana hadi wakubwa kiasi wa oda Hymenoptera katika nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Jina ni tafsiri ya jina la... |
Mdudu mabawa-msuko (Kusanyiko Wadudu mabawa-msuko) Wadudu mabawa-msuko ni wadudu wadogo hadi wakubwa kiasi wa oda Plecoptera (plekein = kusuka, ptera = mabawa) katika nusungeli Pterygota (wenye mabawa)... |
Mdudu Mabawa-vena (Kusanyiko Wadudu mabawa-vena) Wadudu mabawa-vena ni wadudu wadogo hadi wakubwa kiasi wa oda Neuroptera (neuro = neva, ptera = mabawa) katika nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Jina... |
Mbawakawa (pia mbawakavu, mbawakau) ni jina la kawaida la wadudu walio wadogo hadi wakubwa wa oda Coleoptera. Majina mengine yanayotumika ni mende na kombamwiko... |
Mdudu Mabawa-manyofu (Kusanyiko Wadudu mabawa-manyofu) Wadudu mabawa-manyofu ni wadudu wadogo hadi wakubwa wa oda Orthoptera katika nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Jina ni tafsiri ya jina la kisayansi... |
Kunguni-mgunda (Kusanyiko Wadudu mabawa-nusu) Kunguni-mgunda ni wadudu wadogo hadi wakubwa kiasi wa oda ya chini Pentatomomorpha katika oda Hemiptera ya nusungeli Pterygota (wenye mabawa) ambao wana... |
vidung'ata ni wadudu wadogo wa familia Pseudococcidae katika oda Hemiptera ya nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Licha ya jina lao wadudu hawa siyo vidukari... |