Mdudu Siku-Moja

Nusuoda 3:

Mdudu siku-moja
Mdudu siku-moja (Ephemera danica)
Mdudu siku-moja (Ephemera danica)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda (Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo kama wadudu, nge, buibui)
Nusufaila: Hexapoda (Arithropodi wenye miguu sita)
(bila tabaka): Dicondylia (Wadudu walio na mandibula zenye condyle mbili)
Ngeli: Insecta (Wadudu)
Linnaeus, 1758
Nusungeli: Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
Lang, 18888
Oda: Ephemeroptera
Hyatt & Arms, 1891
Ngazi za chini

  • Carapacea
  • Furcatergalia
  • Pisciformia

Wadudu siku-moja ni wadudu wa oda Ephemeroptera (ephemeros = -a muda mfupi, ptera = mabawa) katika nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Wadudu hawa huishi majini baridi katika muundo wa nayadi (lava ya wadudu wa maji) kwa muda wa mwaka mmoja, halafu hutoka kwenye maji na kuambua mara mbili na kuwa mdudu aliyekomaa wenye mabawa. Licha ya jina lao wadudu waliokomaa huishi muda wa nusu saa hadi siku kadhaa. Wanajamiiana tu na kutaga mayai; hawali na kwa hiyo wana alama za vipande vya mdomo tu na utumbo umejaa na hewa. Kinyume na wadudu waliokomaa nayadi hula viani na diatomea, na spishi kadhaa hula lava za wadudu wengine wa maji.

Picha

Mdudu Siku-Moja  Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdudu Siku-moja kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Mdudu Siku-Moja  Makala hiyo kuhusu "Mdudu Siku-moja" inatumia jina ambalo halijakuwepo kwa lugha ya Kiswahili. Jina hili linapendekezwa kwa jina la mnyama huyu au wanyama hawa amba(ye)(o) ha(wa)na jina kwa sasa.

Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.
Kamusi za Kiswahili hazina jina kwa mnyama huyu au wanyama hawa.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Nikki wa PiliSaratani ya mlango wa kizaziJay MelodyWakingaNomino za pekeeUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiTanganyika (maana)TawahudiMartha MwaipajaAdolf HitlerMaumivu ya kiunoDemokrasiaLigi Kuu Uingereza (EPL)Kutoa taka za mwiliWizara ya Mifugo na UvuviKhadija KopaWilaya ya TemekeInsha ya wasifuOrodha ya nchi za AfrikaHuduma ya kwanzaKisimaMjombaVivumishi vya -a unganifuChama cha MapinduziBiolojiaWikipediaMasharikiWajitaMshororoTashihisiMbossoKalenda ya KiislamuChakulaHistoria ya TanzaniaPentekosteKumaMwaniMtandao wa kompyutaMtumbwiJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaNguruwe-kayaWagogoVivumishiMadawa ya kulevyaViwakilishi vya pekeeKimara (Ubungo)SanaaMajigamboBarua pepeSodomaMperaMuhimbiliWachaggaUenezi wa KiswahiliMandhariYesuMtandao wa kijamiiCristiano RonaldoUmememajiJamhuri ya Watu wa ChinaAina za manenoMbadili jinsiaNdiziSentensiWanyakyusaMimba za utotoniVirusi vya CoronaKoloniViwakilishi vya kumilikiKondomu ya kikeApril JacksonKoroshoSiasaMadhara ya kuvuta sigaraTabianchiMisemoMkoa wa Tabora🡆 More