Viwakilishi Vya Kumiliki

Viwakilishi vya kumiliki ni aina ya neno au maneno yanayosimama badala ya nomino inayomilikiwa.

Mifano
  • Yangu imepotea
  • Yetu imepotea
  • Yake imepotea
  • Yao imepotea

Maneno haya hujulisha kuwa nomino ambayo haikutajwa ni mali ya nani. Mizizi ya viwakilishi vya kumiliki imejikita katika nafsi. Mfano:

Viwakilishi vya umiliki
Nafsi Hali Mzizi
Umoja Wingi
Kwanza Umoja yangu -angu
Wingi yetu -etu
Pili Umoja yako -ako
Wingi yenu -enu
Tatu Umoja yake -ake
Wingi yao -ao

Tazama pia

Viwakilishi Vya Kumiliki  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi vya kumiliki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Neno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Rita wa CasciaSisimiziViwakilishi vya pekeeUfugaji wa kukuNeemaMuundo wa inshaFamiliaMaji kujaa na kupwaIsaLil WayneMkoa wa RuvumaNevaMkoa wa IringaMalaikaDodoma (mji)Historia ya WasanguUpepoTunu PindaBenjamin MkapaMtende (mti)Mitume na Manabii katika UislamuMziziUkooKemikaliSalaJumuiya ya MadolaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaYouTubeBendera ya KenyaMalariaHaki za watotoMfumo katika sokaSomo la UchumiWikimaniaHistoria ya uandishi wa QuraniPesaMr. BlueLigi ya Mabingwa AfrikaHoma ya dengiVidonge vya majiraUmoja wa AfrikaUlumbiSayariSayansiMwaka wa KanisaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaLongitudoAshokaKigoma-UjijiOrodha ya Marais wa BurundiKiraiIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)JuxHedhiNungununguVielezi vya idadiSinagogiUbuyuNambaHistoria ya KiswahiliUsiku wa PasakaMisemoMkoa wa DodomaKarne ya 18SkautiWilaya za TanzaniaAdolf HitlerInshaSean CombsFutariSeli nyeupe za damuArusha (mji)UkristoWiktionaryOrodha ya Makamu wa Rais Tanzania🡆 More