Seli Nyeupe Za Damu

Seli nyeupe za damu (kwa Kiingereza: White blood cells, kifupi: WBCs; pia leukocytes au leucocytes) ni miongoni mwa aina za seli za damu.

Ndizo seli zinazohusika na mfumo wa kingamaradhi ili kulinda mwili hidi ya maambukizi.

Seli Nyeupe Za Damu
Seli nyeupe na nyinginezo zinavyoonekana kwa hadubini.

Kuna aina tatu za seli za damu, ambazo ni seli nyekundu, seli sahani pamoja na seli nyeupe. Kwa idadi seli nyeupe ndizo zilizo chache kuliko seli nyingine zote.

Zinapatikana katika mwili wote.

Seli nyeupe hufanya kazi ya kupambana na viini vya magonjwa mbalimbali. Viini vya magonjwa huweza kuwa vijidudu, bakteria au virusi. Seli nyeupe hufanya kama askari wa mwili. Viini vya magonjwa vinapoiingia mwilini huanza kushambulia kwanza seli nyeupe za damu. Hivyo kama seli hizo ni dhaifu basi ni rahisi mwili kushambuliwa na viini hvyo.

Seli nyeupe huimarishwa kwa kula mlo kamili hasa vyakula venye vitamini. Vyakula vyenye vitamini ni kama matunda na mbogamboga hasa za majani. Seli nyeupe huimarishwa kwa vitamini kwani magonjwa mengi husababishwa na upungufu wa vitamini.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Seli Nyeupe Za Damu 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Seli Nyeupe Za Damu  Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seli nyeupe za damu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DamuKifupiKiingerezaMaambukiziMfumo wa kingamaradhiMwiliSeli

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Uenezi wa KiswahiliMitume na Manabii katika UislamuKiumbehaiAfyaUhakiki wa fasihi simuliziTafsidaDolaMkataba wa Helgoland-ZanzibarMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaBloguMawasilianoMtakatifu PauloViwakilishiTanganyika (ziwa)Kiambishi awaliHifadhi ya SerengetiMgawanyo wa AfrikaSemiUgonjwaWaluguruVita ya AbushiriUchawiFani (fasihi)UnyevuangaWangoniHistoria ya AfrikaHerufi za KiarabuTanzaniaBinadamuHoma ya mafuaMisemoSimuMkoa wa ArushaUbongoNomino za wingiEthiopiaHoma ya iniUhindiBendera ya KenyaKitomeoYvonne Chaka ChakaOrodha ya Marais wa MarekaniOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMsongolaUmoja wa AfrikaUfupishoBomu la nyukliaMatumizi ya lugha ya KiswahiliUingerezaDiamond PlatnumzPasaka ya KikristoLakabuMjombaSayansiInshaAustraliaMsamiatiMhusika (fasihi)Wizara za Serikali ya TanzaniaMpira wa kikapuTetemeko la ardhiOrodha ya viongoziMkoa wa MorogoroMwarobainiAlama ya uakifishajiUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaKiambishiInjili ya MathayoMbuSexFasihi andishiFasihi simuliziSakramentiVolkenoMofimu🡆 More