Lil Wayne

Dwayne Michael Carter, Jr.

27 Septemba 1982) ni mshindi wa Tuzo za Grammy - akiwa kama rapa wa muziki wa hip hop bora kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Lil Wayne. Alijiunga na studio ya Cash Money Records akiwa bado yungali bwana mdogo na akabahatika kufanya rekodi kadhaa katika studio hiyo. Wayne alikuwa mmoja kati ya waliokuwa wanachama wa kikundi cha muziki wa rap cha Hot Boys.

Lil Wayne
Lil Wayne mnamo 2011
Lil Wayne mnamo 2011
Maelezo ya awali
Amezaliwa 27 Septemba 1982 (1982-09-27) (umri 41)
Asili yake New Orleans, Louisiana, United States
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Rapa, Mwigizaji, CEO, Msanifu
Ala Sauti
Miaka ya kazi 1993–mpaka sasa
Studio Cash Money, Young Money, Universal
Ame/Wameshirikiana na Hot Boys, Birdman, T-Pain, Drake, Young Money, Kanye West, Young Jeezy, DJ Khaled, Mack Maine, Rick Ross
Tovuti www.lilwayne-online.com

Waasifu

Maisha ya awali

Alizaliwa kama Dwayne Michael Carter, Jr. na kukulia mjini Hollygrove karibu kidogo na mji wa New Orleans, Louisiana. Akiwa na umri wa miaka kumi na moja, akakutana na Bryan Williams, rapa na ndiyo mmiliki wa studio ya Cash Money Records. Baada ya makutano hayo, Wayne akarekodi rap flani ya michano katika studio hiyo ya Williams kwa kutumia chombo maalum cha kuweza kukujibu wakati unachana. Na kwa bahati nzuri michano hiyo ilimwacha hoi mmiliki huyo wa studio na kuthubutu hata kumwingiza Wayne katika studio yake. Wayne pia ana mtoto wa kike mmoja aitwaye Reginae Carter, aliyezaa na Bi. Antonia "Toya" Johnson, demu wake wa kitambo toka shule. Wawili hao walikuja kuoana wakati ule wa Siku Kuu ya Wapendanao ya mwaka wa 2004, lakini wawili hao walikuja kutarikiana mnamo mwaka wa 2006.

Muziki

Albamu za Lil Wayne

    Makala kuu: Albamu za Lil Wayne
  • 1999: Tha Block Is Hot
  • 2000: Lights Out
  • 2002: 500 Degreez
  • 2004: Tha Carter
  • 2005: Tha Carter II
  • 2008: Tha Carter III
    EP albums

And

  • 2007: The Leak

Filamu

  • Baller Blockin (2000)
  • Who's Your Caddy? (2007)
  • Fast and Furious (2009) (inakuja)
  • The Boondocks in the "Invasion of the Katrinians" sehemu ya (2007)
  • "Access Granted" (2007)
  • Hurricane Season (inakuja)
  • Lil Wayne Documentary (2009) (inakuja)

Marejeo

Viungo vya nje

Lil Wayne 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

Lil Wayne WaasifuLil Wayne MuzikiLil Wayne FilamuLil Wayne MarejeoLil Wayne Viungo vya njeLil Wayne198227 SeptembaCash Money RecordsMarekaniTuzo za Grammy

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

AnthropolojiaBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiKampuniUtohoziHifadhi ya Mlima KilimanjaroKarafuuNdiziMeta PlatformsAmfibiaMfumo wa nevaWanyaturuWaheheOrodha ya volkeno nchini TanzaniaMwanzo (Biblia)KizunguzunguTanganyika (ziwa)Uainishaji wa kisayansiMadawa ya kulevyaIsraeli ya KaleUkabailaUtataRedioZiwa ViktoriaMuunganoHistoria ya IranNandyWapareYvonne Chaka ChakaUgonjwa wa malaleUjimaSaratani ya mlango wa kizaziOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuChuiHussein KaziSalaNimoniaVipera vya semiPasakaMishipa ya damuMadhara ya kuvuta sigaraUnyevuangaVita vya KageraUhindiMtotoUzazi wa mpangoRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniHistoria ya Kanisa KatolikiMsitu wa AmazonBaraVidonge vya majiraMorokoHuduma ya ujumbe mfupiBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiMichezo ya jukwaaniMabantuViwakilishi vya kuulizaUfilipinoMgonjwaStashahadaStephane Aziz KiMweziUrenoMillard AyoMfumo wa homoniAngahewaTanganyikaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaKiwakilishi nafsiVita Kuu ya Pili ya DuniaMbadili jinsiaBibliaBurundiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarNathariKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniMethaliVita ya Maji MajiJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo🡆 More