Rita Wa Cascia

Rita wa Cascia (jina la kijiji hicho linatamkwa 'Kasha') alikuwa mjane wa Italia (jina la awali lilikuwa Margherita Lotti, Roccaporena, Perugia, Umbria, 22 Mei 1381 - Cascia, Perugia, 22 Mei 1457) aliyejiunga na shirika la wamonaki Waaugustino.

Rita Wa Cascia
Mt. Rita akipewa na Yesu Kristo mmojawapo wa miba iliyomchoma kichwa siku ya Ijumaa Kuu.
Rita Wa Cascia
Patakatifu pa Mt. Rita huko Roccaporena, Italia.

Papa Urban VIII alimtangaza mwenye heri mwaka 1626, halafu Papa Leo XIII akamtangaza mtakatifu tarehe 24 Mei 1900 kwa jina la "Mtakatifu wa mambo yasiyowezekana".

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Mei.

Maisha

Wazazi wa Rita walikuwa wanaitwa Antonio na Amati Loti. Katika kuzaliwa kwake Rita kulikuwa kwa pekee sana. Siku moja akiwa amelala kulitokea nyuki weupe walioonekana wakiingia na kutoka mdomoni mwake. Hii ilikuwa ishara ya utakatifu.

Rita alipenda sana kuwa sista lakini wazazi wake walimlazimisha awe mama wa familia. Kwa miaka mingi ilimbidi amstahimili mumewe mkatili hadi alipofaulu kumpatanisha na Mungu.

Baada ya kufiwa mume na watoto wake wote wawili alijiunga na monasteri.

Huko alijulikana kwa uvumilivu wake, kwa ukali wa malipizi yake na kwa ufanisi wa sala zake.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Rita Wa Cascia 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Rita Wa Cascia  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Rita Wa Cascia MaishaRita Wa Cascia Tazama piaRita Wa Cascia TanbihiRita Wa Cascia Viungo vya njeRita Wa Cascia1381145722 MeiItaliaJinaKijijiMjanePerugiaShirikaUmbriaWaaugustinoWamonaki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KisaweJava (lugha ya programu)Mapinduzi ya ZanzibarHistoria ya ZanzibarMvuaWayback MachineNevaUmememajiManchester CityMaktabaMofimuUturukiUkimwiSitiari25 ApriliJokate MwegeloSoko la watumwaWahayaAustraliaMilaNguruweKariakooJacob StephenTiktokOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuSemiMadiniMethaliRuge MutahabaKaaNdege (mnyama)MahakamaRohoSiriVitendawiliNg'ombe (kundinyota)FutiMtandao wa kompyutaMashuke (kundinyota)APaul MakondaJumuiya ya Afrika MasharikiAlama ya uakifishajiOrodha ya mito nchini TanzaniaKisononoTetekuwangaHoma ya mafuaUgonjwaUKUTAMamaVihisishiUbadilishaji msimboDar es SalaamHistoria ya TanzaniaLiverpoolUandishi wa barua ya simuFani (fasihi)MwakaHedhiIdi AminMtume PetroWakingaMkoa wa SimiyuBarua rasmiZuchuTarafaJinsiaMisemoIndonesiaLigi Kuu Uingereza (EPL)Bonde la Ufa la Afrika ya MasharikiLatitudoUtamaduniRayvanny🡆 More