Hii Orodha ya Watakatifu wa Afrika inataja watu wanaoheshimiwa na Kanisa Katoliki au madhehebu mengine yoyote ya Ukristo kama watakatifu ambao walizaliwa, waliishi au walifariki barani humo (katika mabano mara nyingi inatajwa nchi ya leo).
Katika karne sita za kwanza za Kanisa, Afrika ililizalia watakatifu na viongozi wake wengi, bila kushindwa na dhuluma za Dola la Roma zilizoenea kote, Farakano la Donato na dhuluma ya Wavandali upande wa Ukristo wa Magharibi, farakano la Wakopti upande wa Ukristo wa Mashariki (lililofuata Mtaguso wa Kalsedonia, 451).
Kati ya Mapapa wa karne za kwanza watatu walizaliwa Afrika au Roma na wazazi kutoka Afrika. Wote hao wanaheshimiwa kama watakatifu:
Kati ya walimu wa Kanisa, watatu walitokea Afrika:
Wengine waliosomea Afrika ni:
Waandishi na wanateolojia wengi walitokea Afrika au waliishi huko, kama vile watakatifu:
Baada ya Waarabu kuteka Afrika Kaskazini yote (karne ya 7), Kanisa Katoliki karibu lilitoweka barani humo. Walibaki zaidi Wakristo wa Kikopti kuanzia Misri hadi Ethiopia, wakiwa na wamonaki wengi sana. Kati ya watakatifu waliowahi kuishi au kufika Afrika katika karne za kati maarufu zaidi ni:
Kati ya walioishi baadaye kuna (miaka na nchi ya Afrika alipoishi):
• Karolo Lwanga • Matias Mulumba Kalemba • Andrea Kaggwa • Atanasi Bazzekuketta • Gonzaga Gonza • Noe Mawaggali • Luka Banabakintu • Yakobo Buzabaliawo • Gyavira Musoke • Ambrosio Kibuuka • Anatoli Kiriggwajjo • Achile Kiwanuka • Kizito • Mbaga Tuzinde • Mugagga Lubowa • Yosefu Mukasa Balikuddembe • Adolfo Mukasa Ludigo • Bruno Sserunkuma • Yohane Maria Muzei, Tanzania • Dionisi Ssebuggwawo • Ponsyano Ngondwe • Mukasa Kiriwawanvu
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Orodha ya Watakatifu wa Afrika kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Orodha ya Watakatifu wa Afrika, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.