Mama

Mama ni mwanamke anayemlea mtoto hasa aliyemzaa mwenyewe, lakini pengine sivyo, lakini anamlea.

Upande wa pili anatarajiwa kuwepo baba, yaani mwanamume aliyeshirikiana naye katika kuzaa au anashirikiana naye katika kulea.

Mama
Mama na mtoto wakifurahi pamoja.
Mama
Monumento a la Madre (yaani Mnara kwa heshima ya Mama) huko Mexico City. Maandishi yake yanasema: "Kwa yule aliyetupenda kabla hajakutana nasi".
Mama
Upendo ulivyochorwa na Mfaransa William-Adolphe Bouguereau.

Wale ambao si wazazi wanaitwa ka kawaida "mama wa kambo" na "baba wa kambo".

Katika historia na utamaduni wa makabila na mataifa mengi, umama ni sifa maalumu ya mwanamke inayotangaza kuwa amekomaa na kukamilika kwa kuendeleza uhai wa binadamu kadiri anavyoelekezwa na umbile lake upande wa mwili na wa nafsi.

Wastani wa idadi ya watoto wanaozaliwa na mwanamke mmoja unatofautiana sana: mwaka 2013 ule mkubwa zaidi ulipatikana Niger (7.03 watoto waliozaliwa na kila mwanamke) na ule ndogo zaidi Singapore (0.79 tu).

Jina hilo au lingine la kufanana linatumika katika lugha nyingi duniani, kwa sababu "neno la kwanza" la mtoto ni "ma" au "mama".

Kwa Kiswahili neno "mama" pia hutumika kama neno la heshima kwa wanawake hasa wa umri mkubwa kiasi. Mara nyingi hutumiwa pia ndani ya familia na mume kumwita mke wake.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Mama 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

BabaMtotoMwanamkeMwanamumeUzazi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya mito nchini TanzaniaNgonjeraMkoa wa Dar es SalaamWagogoKitomeoMtume PetroMazoezi ya mwiliMkunduMhandisiUoto wa Asili (Tanzania)Hifadhi ya SerengetiKikohoziMapenziSoko la watumwaTamthiliaKipandausoVolkenoVidonge vya majiraKimbungaHåvar BauckSteven KanumbaVivumishi vya idadiMatendeKalenda ya KiislamuSomo la UchumiIsraelKitenzi kikuu kisaidiziOsama bin LadenMsonobariIbadaLongitudoDiamond PlatnumzKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaMalariaFani (fasihi)FalsafaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaEngarukaUandishi wa barua ya simuMuundo wa inshaHoma ya mafuaMamba (mnyama)VichekeshoMatamshiMichezoGambiaOrodha ya mapapaRaiaUkristo nchini TanzaniaTanganyika (ziwa)Vielezi vya namnaOrodha ya Magavana wa TanganyikaUsultani wa ZanzibarUpendo Furaha PenezaDaraja la Mkapa1200WhatsAppUchawiMtotoWahaMaji kujaa na kupwaRayvannyIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)NyweleMkoa wa IringaMkoa wa KageraMwislamuMvuaJakaya KikweteViwakilishiShengNdimuUlimwengu🡆 More