Lugha Ya Kwanza

Lugha ya kwanza ni lugha ambayo mtu anaiongea kama lugha yake ya kwanza tangu utotoni, umri ambamo ni rahisi zaidi kuathiriwa na mazingira na hivyo pia kujifunza kusema kama watu wa kandokando.

Lugha Ya Kwanza
Sikukuu ya lugha mama mjini Sydney, Australia, 19 Februari 2006

Pia lugha hiyo huitwa lugha mama (kwa Kiingereza "mother tongue") kwa vile watu wengi hujifunza lugha yao ya kwanza kutoka kwa mama mzazi. Lakini hiyo si lazima: mara nyingine mtoto halelewi na mama, au kama analelewa, anatumia muda mrefu zaidi na watoto wenzake (hasa shuleni), hivyo anazoea lugha yao kuliko ile ya nyumbani, hata kama ni tofauti kabisa.

Kwa sababu hiyohiyo wapo watu wenye lugha mama zaidi ya moja.

Lugha Ya Kwanza Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha ya kwanza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

LughaMazingiraMtuUmriUtoto

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Maeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaMatendeBaruaMaliasiliKen WaliboraEe Mungu Nguvu YetuViungo vinavyosafisha mwiliKanisa KatolikiAbedi Amani KarumeWagogoMkoa wa SimiyuNairobiTanganyikaRejistaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaBahashaMkoa wa IringaMjasiriamaliUkristo barani AfrikaWilaya ya UbungoMajira ya baridiAfande SeleLongitudoKomaZama za ChumaBenki ya DuniaHisiaWayao (Tanzania)Vitenzi vishiriki vipungufuUwanja wa Taifa (Tanzania)KamusiMashuke (kundinyota)MalariaIniJipuWilaya ya ArushaMatumizi ya lugha ya KiswahiliAfrika ya MasharikiMkoa wa DodomaHadhiraMkoa wa ManyaraInsha ya wasifuMgawanyo wa AfrikaVita Kuu ya Pili ya DuniaVivumishi vya sifaNgeliHakiMkopo (fedha)Athari za muda mrefu za pombeUkristoMlo kamiliMtakatifu PauloUgaidiMkoa wa SingidaJKT TanzaniaWilaya ya TemekeMtiVita Kuu ya Kwanza ya DuniaAlomofuNafsiFasihi simuliziWilaya ya MeruWangoniZuchuKinembe (anatomia)Ngono zembeNahauMeena AllyKipimajotoTanganyika African National UnionMungu ibariki AfrikaPopoNomino za pekeeTwiga🡆 More