Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Lugha" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
jamii Lugha hutolea elimu Lugha huleta mawasiliano katika jamii Lugha hukuza utamaduni lugha huburudisha Lugha huwa na tabia zifuatazo: Lugha huzaliwa:... |
Lugha za Kibantu ni kundi la lugha ambalo ni tawi la lugha za Niger-Kongo. Lugha za Kibantu huzungumzwa hasa katika nchi za Nigeria, Kamerun, Guinea ya... |
Lugha rasmi ni lugha iliyopewa cheo maalumu katika nchi fulani. Kwa kawaida ni lugha inayotumiwa hasa na serikali kwa mawasiliano kati ya ofisi zake na... |
Lugha za Kiaustronesia ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika visiwa vya Pasifiki, vya Asia ya Kusini-Mashariki na kisiwa cha Madagaska. Katika... |
Lugha za Kiniger-Kongo ni familia ya lugha barani Afrika. Katika familia hiyo kuna lugha takriban 1400 zenye wasemaji milioni 370 katika Afrika Magharibi... |
Lugha ya taifa ni lugha au lahaja iliyoteuliwa miongoni mwa zile zilizopo katika taifa fulani ili itumike katika mawasiliano ya jamii hiyo. Mara nyingi... |
Lugha ya kwanza ni lugha ambayo mtu anaiongea kama lugha yake ya kwanza tangu utotoni, umri ambamo ni rahisi zaidi kuathiriwa na mazingira na hivyo pia... |
Lugha za Kivuka-Guinea Mpya (pia Lugha za Kitrans-Niugini) ni familia kubwa ya lugha ambazo huzungumzwa katika kisiwa cha Guinea Mpya pande zote mbili... |
Lugha za Kihindi-Kiulaya ni jamii ya lugha iliyo kubwa kuliko zote duniani. Imekadiriwa kuna lugha hai 445 za jamii hiyo na wasemaji bilioni 3.2 katika... |
Lugha za Kisino-Tibeti ni familia kubwa ya lugha ambazo huzungumzwa katika bara ya Asia, hasa nchini Uchina. Idadi ya lugha katika familia hiyo ni zaidi... |
Lugha za Afrika ni zaidi ya 2000. Baadhi ya lugha hizi zina wasemaji mamilioni kama vile Kiswahili, Kihausa, Kiigbo, au Kiyoruba. Lugha nyingine zina... |
Lugha za Kisemiti ni kundi la lugha zinazozungumzwa na watu milioni 300 hivi katika Asia ya Magharibi, Afrika ya Kaskazini na Afrika ya Mashariki. Zinahesabiwa... |
Kiingereza (elekezo toka kwa Lugha ya Kingereza) Kiingereza ni lugha ya jamii ya Kigermanik cha Magharibi iliyokua nchini Uingereza kwa muda wa miaka 1,400. Leo, zaidi ya wasemaji milioni mia nne duniani... |
Lugha za Kiafrika-Kiasia ni familia ya lugha barani Afrika na Asia. Katika familia hiyo kuna lugha zaidi ya 300 zenye wasemaji milioni 350 kati ya Afrika... |
Lugha za Kinilo-Sahara ni familia ya lugha za barani Afrika ambayo ni kati ya zile muhimu zaidi duniani. Hata hivyo, si wataalamu wote wanakubali familia... |
lugha hizo kama familia moja ya kilugha, lakini tangu pale familia tofautitofauti zilibainishwa, k.m. lugha za Kitorricelli, lugha za Kisepik, lugha za... |
Lugha za Kirumi ni lugha zilizotokana na Kilatini kilichokuwa moja kati ya lugha za kale za Kihindi-Kiulaya. Ni lugha mama kwa watu milioni 800 hivi duniani... |
Lugha za Kiturki ni kundi la lugha zaidi ya 30 zinazozungumzwa kutoka Ulaya ya Mashariki hadi Asia ya Kati na watu milioni 210. Zinahesabiwa kuwa sehemu... |
na wengine 100 wanotumia lugha hizi kama lugha ya pili. Lugha hizi ni sehemu za familia ya lugha za Kihindi-Kiulaya. Lugha za Kislavoni zenye wasemaji... |
Kifaransa (elekezo toka kwa Lugha ya Kifaransa) Kifaransa (kwa Kifaransa: français) ni lugha ya Ufaransa (pamoja na maeneo yake ya ng'ambo), Ubelgiji ya Kusini, Uswisi ya Magharibi, Luxemburg na Kanada... |