Sydney ni mji wa pwani ya mashariki katika nchi ya Australia.
Sydney ni mji mkubwa wa New South Wales. Takribani watu milioni 4 wanaishi katika mji wa Sydney na ndio mji mkubwa kabisa nchini Australia.
Sydney | |
Majiranukta: 33°51′35″S 151°12′40″E / 33.85972°S 151.21111°E | |
Majiranukta: 33°51′35.9″S 151°12′40″E / 33.859972°S 151.21111°E 151°12′40″E / 33.859972°S 151.21111°E | |
AEST | (UTC) |
---|
Mji uligunduliwa mwaka 1788 na Arthur Phillip, aliyekuwa ofisa wa Navy Royal ya Uingereza, na mji ukawa kama sehemu ya wafungwa wa Kiingereza na Kiayalendi.
The Rocks, ni sehemu mojawapo katika mji wa Sydney, ndio ilikuwa sehemu ya kwanza kuwa mji wenye mvuto katika Australia. Sasa imekuwa sehemu yenye mandhari nzuri ya bandari na ni sehemu pa kujipatia kula yaani kuna mgahawa mkubwa.
Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sydney kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Sydney, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.