Maeneo Ya Kihistoria Ya Kitaifa Ya Tanzania

Maeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya Tanzania ni orodha kuu rasmi ya maeneo mbalimbali nchini Tanzania ambayo yameteuliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii ya Tanzania chini katika Kitengo cha Mambo ya Kale.

Orodha hii haijakamilika na inafanyiwa kazi kwa sasa.

Historia

Historia ya Idara ya Mambo ya Kale na Maeneo ya Kihistoria ya Kitaifa iliundwa na mamlaka ya Waingereza katika eneo la Tanganyika mwaka 1937 kama Sheria ya Uhifadhi wa Maziara ya mwaka wa 1937. Ilipofika mwaka wa 1957, idara hiyo ilikabidhiwa kwa Wizara ya Elimu kama Kitengo cha Mambo ya Kale kilichozinduliwa na ofisi iliyopo Bagamoyo, mkoa wa Pwani. Ofisi ilihamishiwa rasmi kwenda Dar es Salaam mwaka 1960. Ulipofikia mwaka wa 1964, miaka mitatu baada ya uhuru wa taifa, Bunge la taifa la Tanzania lilipitisha Sheria ya Mambo ya Kale Na. 10 ya mwaka 1964 ili kuchukua nafasi ya Sheria ya Uhifadhi wa Makumbusho ya 1937. Sheria ya 1964 ilirekebishwa mwaka wa 1979 na kuwekwa kwa Sheria ya Mambo ya Kale Na. 22 ya mwaka 1979, kisha hiyo nayo ikabadilishwa na Sheria ya Makumbusho ya Vitu Na. 13 ya mwaka 1981 ambao ndiyo sheria iliyomo mpaka leo.

Orodha ya Maeneo ya Kihistoria ya Kitaifa

Ifuatayo hapo chini ni orodha ya Maeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya nchi ya Tanzania. Kuna tovuti za ziada kwa mikoa kwenye hii orodha.

Mkoa wa Tanga

Mkoa wa Arusha

Mkoa wa Manyara

  • Luxmanda (Zama Mpya za Mawe)

Mkoa wa Kilimanjaro

  • Pare (Makazi ya Zama za Chuma)
  • Bombo Kaburi (Makazi ya Zama za Chuma)
  • Usangi (Makazi ya Zama za Chuma)

Mkoa wa Manyara

Mkoa wa Pwani

  • Mji wa kihistoria wa Bagamoyo
  • Magofu ya Kaole (Makazi ya Waswahili wa Zama za Kati)
  • Chole (Makazi ya Waswahili wa Zama za Kati)
  • Kisimani Malia (Makazi ya Waswahili wa Zama za Kati)
  • Kisiju (Makazi ya Waswahili wa Zama za Kati)
  • Mkiu (Makazi ya Zama za Chuma)

Mkoa wa Morogoro

Mkoa wa Dodoma

Mkoa wa Tabora

  • Kwihira Livingstone Memorial Museum

Mkoa wa Mwanza

  • Mwanza (Makazi ya Zama za Chuma)
  • Ngasamo (Makazi ya Zama za Mawe)

Mkoa wa Kigoma

Mkoa wa Mbeya

Mkoa wa Songwe

Mkoa wa Rukwa

  • Kala (Makazi ya Zama za Chuma)
  • Kirando (Makazi ya Zama za Chuma)

Mkoa wa Iringa

Mkoa wa Lindi

Mkoa wa Mtwara

Mkoa wa Ruvuma

Mkoa wa Kagera

  • Makumbusho ya Bweranyange
  • Kemondo KM2 na KM3 (Makazi ya Zama za Chuma)
  • Katuruka (Makazi ya Zama za Chuma)
  • Kansyore (Makazi ya Zama za Chuma)
  • Nyabusora (Makazi ya Zama za Mawe)

Mkoa wa Dar es Salaam

  • Magofu ya Kunduchi (Makazi ya Waswahili wa Zama za Kati)
  • Magomeni Makumbusho
  • Mbweni (Makazi ya Waswahili wa Zama za Kati)
  • Msasani (Makazi ya Waswahili wa Zama za Kati)

Mkoa wa Unguja Kaskazini

  • Tumbatu ((Makazi ya Waswahili wa Zama za Kati)

Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi

Mkoa wa Unguja Kusini

  • Unguja Ukuu (Makazi ya Waswahili wa Zama za Kati)
  • Pango la Kuumbi

Mkoa wa Pemba Kusini

Uongozi na Wizara

Ifuatayo ni historia ya idara ya mambo ya kale nchini Tanzania; imekuwa chini ya uongozi wa watu wafuatao:

*1957-1968: Neville Chittick, Mtunza

*1968-1981: Amin Aza Mutri, Mkurugenzi

*1981-1985: Simon S.A. Waane, Mkuu wa Sehemu

*1985-1997: Simon SA Waane, Mkurugenzi

*1997-2000: Donatius M.K. Kamamba, Ag Mkurugenzi

*2000-Hadi sasa: Donantius M.K. Kamamba, Mkurugenzi


Idara ya Mambo ya Kale ya Tanzania imekuwa chini ya wizara zifuatazo:

*1957-1962: Wizara ya Elimu

*1962-1964: Wizara ya Utamaduni wa Taifa na Vijana

*1964-1967: Ofisi ya Rais 1967-1968: Wizara ya Tawala za Mikoa *1968-1980: Wizara ya Elimu ya Taifa

*1980 -1984: Wizara ya Habari na Utamaduni

*1984-1999: Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Utamaduni, Vijana na Michezo

*1999–Sasa: Wizara ya Maliasili na Utalii.

Tanbihi

Tags:

Maeneo Ya Kihistoria Ya Kitaifa Ya Tanzania HistoriaMaeneo Ya Kihistoria Ya Kitaifa Ya Tanzania Orodha ya Maeneo ya Kihistoria ya KitaifaMaeneo Ya Kihistoria Ya Kitaifa Ya Tanzania Uongozi na WizaraMaeneo Ya Kihistoria Ya Kitaifa Ya Tanzania TanbihiMaeneo Ya Kihistoria Ya Kitaifa Ya TanzaniaTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Makamu wa Rais TanzaniaUtumbo mpanaPijini na krioliYanga PrincessViwakilishi vya kumilikiCristiano RonaldoMkoa wa KageraKiumbehaiMkoa wa DodomaUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaMbuniDawatiNg'ombeMilaBenderaUchawiOrodha ya Marais wa MarekaniNguzo tano za UislamuJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaSoko la watumwaFananiPijiniHistoria ya WasanguKanga (ndege)Hekaya za AbunuwasiUtendi wa Fumo LiyongoCleopa David MsuyaIsimujamiiMisimu (lugha)Majeshi ya Ulinzi ya KenyaMariooMkoa wa MorogoroNahauMkoa wa KilimanjaroMaudhuiVielezi vya namnaStadi za lughaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaZiwa ViktoriaMfumo wa JuaEdward SokoineSah'lomonMpira wa mkonoSerikaliFamiliaOrodha ya Watakatifu WakristoShikamooKutoa taka za mwiliWarakaMaandishiDuniaSanaa za maoneshoVita Kuu ya Kwanza ya DuniaUwanja wa Taifa (Tanzania)NusuirabuBendera ya KenyaMtakatifu PauloBurundiUbadilishaji msimboKilimanjaro (volkeno)WagogoKinyongaMahakama ya TanzaniaTarakilishiLugha za KibantuUyahudiMapambano ya uhuru TanganyikaKisukuruUnyenyekevuKomaVihisishiPalestinaSiasaMoyoChuo Kikuu cha Dar es Salaam🡆 More