Mkoa Wa Pemba Kusini

Mkoa wa Pemba Kusini mi mojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 74000.

Uko katika sehemu ya kusini ya Kisiwa cha Pemba ambacho ni sehemu ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mkoa Wa Pemba Kusini
Visiwa vya Zanzibar (Unguja na Pemba)
Mkoa Wa Pemba Kusini
Mahali pa Pemba Kusini katika Tanzania

Makao makuu ya mkoa yako Chake Chake.

Mkoa una wilaya mbili tu, Mkoani na Chake Chake

Mkoa una wakazi 271,350 kadiri ya sensa ya mwaka 2022 .. Katika sensa ya mwaka 2012 ulikuwa na wakazi wapatao 195,116.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje


Mkoa Wa Pemba Kusini  Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Pemba Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.

Tags:

Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaJamhuri ya Watu wa ZanzibarKisiwa cha PembaKusiniMikoa ya TanzaniaMkoaNambaPostikodiTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mashuke (kundinyota)KisimaNathariOrodha ya Marais wa MarekaniHektariUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020WhatsAppStadi za lughaKiambishi tamatiPichaHekaya za AbunuwasiLatitudoManchester CityUmaskiniWilaya ya KinondoniKariakooJamhuri ya Watu wa ZanzibarHistoria ya Kanisa KatolikiMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiKataNabii EliyaTarafaAsidiJoyce Lazaro NdalichakoOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaChristina ShushoAgano JipyaAlomofuKiarabuBikira MariaSteve MweusiKitenzi kikuu kisaidiziUkatiliBendera ya TanzaniaUharibifu wa mazingiraKhalifaHalmashauriWajitaSimbaKifaruMethaliNuktambiliVipera vya semiWayahudiKanisa KatolikiSitiariVokaliJakaya KikweteNamba tasaChama cha MapinduziTanganyikaNomino za kawaidaWashambaaShengMbaraka MwinsheheUfugajiAina za manenoUgonjwaKipindupinduVielezi vya mahaliUnyagoMaji kujaa na kupwaMbuga za Taifa la TanzaniaKigoma-UjijiWahayaMasharikiUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaIniMkoa wa SingidaKondomu ya kikeBunge la TanzaniaMwanza (mji)UshairiMkoa wa Njombe🡆 More