Mji Mwanza

Jiji la Mwanza ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Mwanza. Mji upo kando la ziwa Viktoria Nyanza Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 706,453 (ukijumlisha wakazi wa Wilaya ya Nyamagana na sehemu za Wilaya ya Ilemela).: 173  Mwaka 2022 walihesabiwa 1,004,521 .

Jiji la Mwanza
Picha ya angani ya Mji wa Mwanza
Picha ya angani ya Mji wa Mwanza
Picha ya angani ya Mji wa Mwanza
Jiji la Mwanza is located in Tanzania
Jiji la Mwanza
Jiji la Mwanza
Majiranukta: 2°31′S 32°54′E / 2.517°S 32.900°E / -2.517; 32.900
Nchi Tanzania
Mkoa Mwanza
Wilaya Nyamagana
Ilemela
Serikali
 - Aina ya serikali Jiji
 - Mstahiki Meya Sima Constantine Sima
 - Mkurugenzi wa Jiji Selemani Yahaya Sekiete
Eneo
 - Jumla 256 km²
 - Kavu 184 km² 
 - Maji 72 km² 
Mwinuko 1,140 m (3,737.7 ft)
Idadi ya wakazi (2022)https://www.nbs.go.tz.
 - Wakazi kwa ujumla 1,004,521
EAT (UTC+3)
Kodi ya simu 028
Tovuti:  Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Mji Mwanza
Wilaya za Jiji la Mwanza

Jiji hili limekuwa na vivutio mbalimbali vikiwemo mawe yaliyo katika Ziwa Victoria katika eneo la Nyanza. Pia jirani kuna hifadhi za wanyama wa porini kama Sanane, ambapo kuna wanyama kama simba, swala, pundamilia, sokwe,duma na chui

Historia

Mwanza ilianzishwa na Wajerumani wakati wa koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Mahali paliteuliwa kutokana na nafasi ya bandari asilia upande wa kusini ya Ziwa Viktoria. Wajerumani waliuita mji kwa jina "Muansa" inaaminiwa ilikuwa matamshi yao ya neno "nyanza". Walijenga boma kubwa iliyoendelea kitovu cha mji. Takwimu ya Kijerumani ya 1912 ilihesabu wazungu 85, Wagoa 15, Wahindi wengine 300 na Waarabu 70 lakini haikutaja wakazi Waafrika. Palikuwa na makampuni ya biashara 12 ya kizungu na 50 ya Wahindi..

Marejeo

Mji Mwanza  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mwanza (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Mji Mwanza  Kata za Jiji la Mwanza - Mkoa wa Mwanza - Tanzania Mji Mwanza 

Wilaya ya Ilemela: Bugogwa • Buhongwa • Buswelu • Butimba (Ilemela) • Igoma • Ilemela • Mkolani • Nyakato • Pasiansi •Sangabuye Wilaya ya Nyamagana: Igogo • Isamilo • Kirumba • Kitangiri • Mbugani • Mirongo • Mkuyuni • Nyamagana • Nyamanoro • Pamba

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

FonimuIdhaa ya Kiswahili ya Radio TehranMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaUandishi wa ripotiMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaUpendoKadi za mialikoLingua frankaTafsidaShangaziNjia ya MachoziVivumishi vya sifaMziziUrusiMuundoJinaKitomeoMkoa wa TangaTreniKidoleMitume wa YesuMuziki wa hip hopUsafi wa mazingiraSimu za mikononiVipera vya semiMkoa wa ShinyangaVita ya Maji MajiSemiAdolf HitlerMgonjwaMsongolaMkonoMuundo wa inshaDamuKonsonantiRejistaUchimbaji wa madini nchini TanzaniaHisiaAsidiWachaggaHaki za binadamuUandishi wa inshaFacebookWimboMshale (kundinyota)Misimu (lugha)KiarabuNguvaMwanga wa JuaTabataLahaja za KiswahiliWanyama wa nyumbaniAgano JipyaMohammed Gulam DewjiTanganyika African National UnionViwakilishiKamusi ya Kiswahili - KiingerezaMkoa wa MaraMilaCristiano RonaldoKishazi huruBendera ya KenyaMachweoDiamond PlatnumzBabuAslay Isihaka NassoroOrodha ya miji ya TanzaniaTarafaUgonjwa wa uti wa mgongoNadhariaZama za Mawe🡆 More