Unguja

Unguja ni kisiwa kikubwa katika Bahari Hindi mkabala wa mwambao wa Afrika ya Mashariki karibu na Dar es Salaam.

Unguja
Ramani ya Unguja

Unguja ndicho kisiwa kikuu cha funguvisiwa la Zanzibar ambavyo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Unguja ina eneo la takriban km² 1.658 ikiwa na wakazi 869,721 (2012).

Mji mkuu ni Jiji la Zanzibar kwenye pwani ya magharibi mkabala wa bara.

Kisiwani Unguja kuna mitatu kati ya mikoa 31 ya Tanzania ambayo ni Unguja Kaskazini, Unguja Kusini na Unguja Mjini Magharibi.

Tazama pia

Viungo vya nje


Tags:

Afrika ya MasharikiBahari HindiDar es SalaamKisiwaMwambao

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Tiba asilia ya homoniUtandawaziMawasilianoVihisishiUlayaBabeliUhifadhi wa fasihi simuliziDaftariJangwaMbuga za Taifa la TanzaniaOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaJohn Raphael BoccoMtakatifu PauloFatma KarumeUmoja wa MataifaVita Kuu ya Pili ya DuniaMitume na Manabii katika UislamuMbeguHisiaInshaMpwaNovatus DismasZana za kilimoMkoa wa ArushaSilabiKipajiAlama ya barabaraniNdoa ya jinsia mojaMkanda wa jeshiFananiWema SepetuPasakaUchawiHoma ya iniUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaRose MhandoDiraAmaniWanyamaporiAbrahamuSensaPichaShirika la Reli TanzaniaTimu ya Taifa ya Kandanda ya KenyaWapareBendera ya KenyaKatibaWanyamboZakaJulius NyerereMchezoKatekisimu ya Kanisa KatolikiMamba (mnyama)FonetikiIntanetiNyanja za lughaAbd el KaderLongitudoMtende (mti)JinsiaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiLatitudoUchumiMwezi (wakati)DaktariUjerumaniAdhuhuriOrodha ya makabila ya KenyaDhambiMadhara ya kuvuta sigaraTendo la ndoaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniWizara za Serikali ya TanzaniaNidhamuMtandao wa kompyutaVitenzi vishirikishi vikamilifuUgonjwa wa uti wa mgongoHistoria ya Urusi🡆 More