Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya

Timu ya taifa ya soka ya Kenya, iitwayo Harambee Stars , ni timu ya taifa ya Kenya na imedhibitiwa na Shirikisho la Soka la Kenya.

Haijawahi kuhitimu kucheza katika Kombe la Dunia.

Kenya
Shirt badge/Association crest
Nickname(s)Harambee Stars
ShirikaKenya Football Federation
ShirikishoCAF (Africa)
Kocha mkuuTwahir Muhiddin
Home stadiumMoi International Sports Centre
msimbo ya FIFAKEN
cheo ya FIFA105
Highest FIFA ranking68 (Desemba 2008)
Lowest FIFA ranking137 (Julai 2007)
Elo ranking108
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Home colours
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
Away colours
First international
Kenya Kenya 1 - 1 Uganda Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
(Nairobi, Kenya; 1 Mei 1926)
Biggest win
Kenya Kenya 10 - 0 Zanzibar Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
(Nairobi, Kenya; ?, 1961)
Biggest defeat
Kenya Kenya 0 - 13 Ghana Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya
(Nairobi, Kenya; 12 Desemba 1965)
Kombe la Mataifa ya Afrika
Appearances5 (First in 1972)
Best resultRound 1, all

Historia

Kenya imetokea katika mashindano matano ya Kombe la Mataifa ya Africa, na haijawahi kamwe kufika raundi ya pili. Timu iliingia katika majaribio ya kufuzu katika kombe la dunia la FIFA mwaka 1974. Kufikia mwaka 2006, bado hawajahitimu michuano ya fainali.

Ahirisho la FIFA mwaka 2004

FIFA iliahirisha Kenya kutoka shughuli zote za soka kwa miezi mitatu mwaka 2004, kutokana na kuingiliwa na serikali katika shughuli za soka. Marufuku mara yaliachwa baada ya nchi kuukubali kuunda sheria mpya.

Kupigwa marufuku ya kitaifa na FIFA mwaka 2006

25 Oktoba 2006, Kenya iliahirishwa tena kutoka soka ya kimataifa kwa kushindwa kutimiza mkataba wa Januari 2006 uliobuniwa kutatua matatizo yasioisha katika Shirikisho lao la Soka yao. FIFA ilitangaza kuwa ahirisho hilo lingetimizwa hadi shirikisho lirejee kwenye mikataba ya iliyofikiwa awali.

Wachezaji maarufu

Mafanikio ya soka Kenya

    Kombe la CECAFA:
      • Bingwa mara 5 (1975, 1981, 1982, 1983, 2002)
      • Kumaliza nafasi ya pili mara 4

Rekodi ya Kombe la Mataifa ya Afrika

{ || valign = "top"

|* 1957 - Hawakuingia

  • 1959 - Hawakuingia
  • 1962 - Hawakuhitimu
  • 1963 - Walijitoa
  • 1965-1970 - Hawakuhitimu
  • 1972 - Zamu ya 1
  • 1974-1982 - Hawakuhitimu
  • 1984 - Hawakuingia
  • 1986 - Hawakuhitimu

| width="50"|  | valign = "top"

|* 1988 - Zamu ya 1

  • 1990 - Zamu ya 1
  • 1992 - Round 1
  • 1994 - Hawakuhitimu
  • 1996 - aWalijitoa
  • 1998-2002 - Hawakuhitimu
  • 2004 - Zamu ya 1
  • 2006-2010 - Hawakuhitimu

|}

Mameneja

  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Ray Bachelor 1961
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Jack Gibbons 1966
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Elijah Lidonde 1967
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Eckhard Krautzun 1971
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Jonathan Niva 1972
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Ray Wood 1975
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Grzegorz Polakow 1979
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Stephen Yongo 1979
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Marshall Mulwa 1980-83
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Bernhard Zgoll 1984
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Reinhard Fabisch 1987
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Christopher Makokha 1988
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Mohammed Kheri 1988-90
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Gerry Saurer 1992
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Mohammed Kheri 1995
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Vojo Gardasevic 1996
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Reinhard Fabisch 1997
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Abdul Majid 1998
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Christian Chukwu 1998
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  James Siang'a 1999-00
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Reinhard Fabisch 2001-02
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Joe Kadenge 2002
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Jacob "Ghost" Mulee 2003-04
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Twahir Muhiddin 2004-05
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Mohammed Kheri 2005
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Bernard Lama 2006
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Tom Olaba 2006
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Jacob "Ghost" Mulee 2007-08
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Francis Kimanzi 2008-2009
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Antoine Hey 2009
  • Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya  Twahir Muhiddin 2009

Marejeo

Tags:

Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya HistoriaTimu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya Wachezaji maarufuTimu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya Mafanikio ya soka KenyaTimu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya Rekodi ya Kombe la Mataifa ya AfrikaTimu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya MamenejaTimu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Kenya MarejeoTimu Ya Taifa Ya Kandanda Ya KenyaDuniaKenyaKombe la Dunia la FIFAShirikisho la Soka KenyaTimu ya taifa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SimbaStadi za lughaSiafuTanganyika (ziwa)Mkoa wa KigomaChakulaGhanaMadinaBawasiriEthiopiaRitifaaHistoria ya WokovuOrodha ya MiakaMgawanyo wa AfrikaSaddam HusseinOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuDeuterokanoniJinsiaVitendawiliHedhiAsiaHaki za watotoVieleziAfrika KusiniVipera vya semiMtandao wa kompyutaMakkaJuxKupatwa kwa MweziKombe la Dunia la FIFAKupatwa kwa JuaOrodha ya Marais wa TanzaniaTanzania Breweries LimitedNgonjeraInshaMarekaniUbatizoKitubioRushwaKaramu ya mwishoDakuMajira ya baridiAnna MakindaKitunguuKiunguliaKorea KusiniWaluguruMikoa ya TanzaniaKalenda ya mweziOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaKibodiWachaggaMwanza (mji)Julius NyerereTungo sentensiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarVivumishi vya pekeeKitenzi kikuuAngkor WatTupac ShakurWanyamweziDioksidi kaboniaUnju bin UnuqJuma kuuKilatiniHoma ya dengiUkoloniUhifadhi wa fasihi simuliziMalawiNyangumiMamlaka ya Mapato ya TanzaniaMichael JacksonAlasiri🡆 More