Antoine Hey (alizaliwa tarehe 19 Septemba 1970) ni mchezaji mstaafu wa kandanda wa Ujerumani aliyecheza katika Bundesliga.
Senior career* | |||
---|---|---|---|
Miaka | Timu | Apps† | (Gls)† |
–1989 | Grasshopper Zürich | ||
1989–1992 | Fortuna Düsseldorf | 49 | (5) |
1992–1994 | Schalke | 19 | (0) |
1993–1994 | → Tennis Borussia Berlin (loan) | 27 | (7) |
1994–1997 | Fortuna Köln | 94 | (16) |
1997–1999 | Birmingham City | 9 | (0) |
1999–2000 | Fortuna Düsseldorf | 34 | (3) |
2000–2001 | VfL Osnabrück | 33 | (0) |
2001–2003 | Anorthosis Famagusta | 20 | (6) |
2003 | Bristol City | 0 | (0) |
2003–2004 | VfR Neumünster | 22 | (1) |
Teams managed | |||
2003–2004 | VfR Neumünster | ||
2004–2006 | Lesotho | ||
2006–2007 | Gambia | ||
2007 | US Monastir | ||
2008–2009 | Liberia | ||
2009 | Kenya | ||
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only. † Appearances (Goals). |
Baadaye alikuwa kocha wa timu ya taifa ya Kenya, kazi aliyoshikilia kutoka Februari hadi Novemba 2009.
Hey alichezea hasa timu za Fortuna Düsseldorf na Schalke nchini Ujerumani. Vilevile, alichezea timu za Tennis Borussia Berlin, Fortuna Köln, VfL Osnabrück, Anorthosis Famagusta na VfR Neumünster.| nchini Ujerumani.Vilevile, alichezea timu za Tennis Borussia Berlin, Fortuna Köln, VfL Osnabrück, Anorthosis Famagusta na VfR Neumünster.
Hey alianza kazi yake ya usimamizi nchini Ujerumani na kilabu cha VfR Neumünster kabla ya kuhamia Afrika kusimamia Lesotho. [] Alikuwa pia meneja wa Gambia kuanzia Septemba 2006 hadi Machi 2007. Akiwa meneja wa Gambia,kulikuwepo malumbano kuhusiana na fedha.
Aliteuliwa meneja wa Liberia mnamo Februari 2008. Mnamo Februari 2009 , aliteuliwa kocha wa timu ya taifa ya Kenya.
Baada ya migogoro na shirikisho la mpira la Kenya kuhusiana na uteuzi wa timu , Hey aliiwacha timu ya taifa ya Kenya kabla ya pambano la kufuzu katika Kombe la Dunia dhidi ya Nigeria.
Babake Jonny Hey, kutoka 1972 hadi 1980 ,alikuwa mchezaji soka maarufu (MSV Duisburg, Arminia Bielefeld, Grasshoppers Zürich na Fortuna Köln). Alicheza mechi 32 za Bundesliga na mechi 127 kwenyea ligi ya pili
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Antoine Hey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Antoine Hey, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.