Liberia

Liberia (yaani Nchi ya watu huru kwa Kilatini) ni nchi iliyoko Afrika ya Magharibi.

Imepakana na nchi za Ivory Coast, Guinea, na Sierra Leone.

Liberia

Ni mojawapo ya nchi za Afrika ambazo hazikutawaliwa na Wazungu. Hata hivyo watu wa Liberia huongea Kiingereza sana.

Historia

Liberia ni nchi iliyoundwa na makabila 16 ya asili nchini humo na wahamiaji Weusi toka Marekani na Karibi (5%), mbali na machotara wa aina mbalimbali.

Wamarekani Weusi hao walikuwa watumwa waliopata uhuru ambao kwa kushirikiana na chama cha American Colonization Society waliunda taifa hili na kutangaza uhuru wa nchi hiyo tarehe 26 Julai 1847.

Wamarekani Weusi hao waliichukulia nchi hiyo kama nchi ya ahadi kutokana na asili yao kuwa Afrika, ambako ndiko mababu zao walikotokea kabla ya kupelekwa utumwani Marekani.

Hata hivyo, wahamiaji hao waliendelea kujitambulisha kama Wamarekani na hawakujenga mahusiano ya karibu na wenyeji.

Alama za taifa hili (bendera, kauli mbiu, na nembo) na hata muundo wa serikali vilikuwa vikionyesha mahusiano ya karibu kati ya nchi hizo mbili.

Liberia ilikuwa katika vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya miaka 1989-1996 na 1999-2003.

Hivi karibuni umefanywa kwa mara ya pili uchaguzi kwa amani na kuweza kumchagua George Weah kushika nafasi ya mwanamke wa kwanza kuwa Rais barani Afrika, Ellen Johnson-Sirleaf.

Watu

Lugha rasmi ni Kiingereza, ambacho kinatumiwa na asilimia 15 za wakazi. Lugha za taifa ni 4: Kiingereza cha Kiliberia, Kikpelle, Kimeriko na Krioli.

Upande wa dini, wakazi kwa asilimia 85.5 ni Wakristo, hasa Waprotestanti, halafu Wakatoliki (5.8%). Waislamu ni 12.2%. Wanaoendelea kufuata dini asilia za Kiafrika ni 0.5% tu.

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Liberia 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:

Liberia  Liberia travel guide kutoka Wikisafiri


Nchi za Afrika Liberia 
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira

Tags:

Liberia HistoriaLiberia WatuLiberia Tazama piaLiberia MarejeoLiberia Viungo vya njeLiberiaAfrika ya MagharibiGuineaIvory CoastKilatiniSierra Leone

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KiumbehaiAnwaniUingerezaTawahudiKaaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaRoho MtakatifuIpagalaMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaKanga (ndege)Nomino za wingiMkoa wa MbeyaAla ya muzikiJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMasadukayoWakaguruOrodha ya kampuni za TanzaniaSaratani ya mlango wa kizaziMkoa wa DodomaMkoa wa PwaniAina za ufahamuManispaaWizara za Serikali ya TanzaniaMapinduzi ya ZanzibarMisimu (lugha)UfugajiUsafi wa mazingiraOrodha ya Marais wa MarekaniBaraza la mawaziri TanzaniaHifadhi ya mazingiraMkonoP. FunkHeshimaRushwaChuo Kikuu cha PwaniUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaBagamoyo (mji)SerikaliInshaMashuke (kundinyota)Orodha ya Makamu wa Rais TanzaniaWilaya ya UbungoMkoa wa RukwaMziziTanganyika (ziwa)JangwaKupatwa kwa JuaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMtandao wa kijamiiOrodha ya Watakatifu WakristoVivumishiGongolambotoChuo Kikuu cha DodomaMartha MwaipajaKiburiPunyetoUfalme wa MuunganoChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)Historia ya uandishi wa QuraniMarekaniMisemoLugha ya taifaMichezoBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiFasihi simuliziKen WaliboraLughaBurundiUyahudiNgono zembeIyungaChristina ShushoIniSaidi NtibazonkizaHaki za binadamuWangoni🡆 More