Krioli

Krioli (kwa Kiingereza: creole language) ni jina la kutaja lugha yoyote iliyokua kutokana na lugha mbili au zaidi kukutana na kuingiliana.

Hivyo inatokana na matumizi ya pijini kwa muda mrefu, yaani ni pijini iliyokua na kupata wasemaji wake asilia. Hivyo basi hapawezi kuwa na krioli pasipokuwa na pijini kwanza.

Krioli
Bango barabarani likitumia krioli ya Guadeloupe.

Kuna lugha za Krioli nyingi duniani. Lugha hizo huwa na miundo changamano. Pia zina msamiati mwingi kutoka lugha mbalimbali, jambo linaloitofautisha pakubwa na lugha asilia.

Idadi ya lugha za aina hiyo ni walau 100, na nyingi kati yake zimetokana na lugha za Ulaya.

Krioli kubwa zaidi ni ile ya Haiti, yenye wasemaji zaidi ya milioni 10.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Krioli 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Krioli  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Krioli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KiingerezaLughaPijini

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

HekimaDola la RomaViwakilishi vya pekeeVita Kuu ya Pili ya DuniaKitenziMizimuWanyaturuMishipa ya damuClatous ChamaVivumishi vya ambaJKT TanzaniaBendera ya ZanzibarMnururishoTafsidaHifadhi ya Taifa ya NyerereMwanzoWilaya ya ArushaKamusi ya Kiswahili - KiingerezaZabibuKalenda ya KiislamuTafsiriEthiopiaVirusi vya UKIMWIKilimoChakulaNduniTamathali za semiKen WaliboraOrodha ya Magavana wa TanganyikaWilaya ya NyamaganaUmoja wa AfrikaNgw'anamalundiMichezo ya watotoMkoa wa ArushaOrodha ya viongoziMartin LutherMhandisiTenziNyegeRose MhandoNdovuUwanja wa Taifa (Tanzania)YesuManchester CityHali ya hewaMagonjwa ya kukuFonimuKishazi tegemeziMuundo wa inshaDhamiraMavaziHistoria ya UislamuSteve MweusiBenki ya DuniaHistoria ya KenyaMaigizoVipera vya semiUtamaduniVita vya KageraDodoma MakuluMohamed HusseinUtumwaIyungaManchester United F.C.Namba ya mnyamaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniUNICEF🡆 More