Kreyol Ayisien

Kreyol Ayisien au Krioli ya Haiti ni lugha ya Krioli iliyozaliwa nchini Haiti na kuwa moja ya lugha rasmi katika nchi hiyo.

Ndiyo Krioli kubwa zaidi duniani kwa kuwa lugha hiyo inaongelewa na watu milioni 10-12.

Kreyol Ayisien

Asili ya lugha ni kukutana kwa watumwa kutoka nchi za Afrika na mabwana wao waliosema Kifaransa huko Haiti.

Kifaransa na Krioli ya Haiti zinafanana sana katika msamiati; takriban asilimia 90 za maneno ya Krioli zimepokewa kutoka Kifaransa. Lakini mara nyingi maana ya maneno imebadilika, na kwa msemaji wa Kifaransa cha Kisasa si rahisi kuelewa Krioli hiyo moja kwa moja. Vilevile Kifaransa ni lugha ya pili kwa wazawa wengi wa Haiti.

Kwa miaka mingi Kifaransa sanifu kilikuwa lugha rasmi pekee lakini katiba ya mwaka 1987 ilitambua Kikrioli kama lugha rasmi ya pili.

Marejeo

Kreyol Ayisien  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kreyol Ayisien kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DunianiHaitiKrioliLughaLugha rasmiMilioniWatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Tungo sentensiNguruwe-kayaShaaban (mwezi)MunguKenyaNdoo (kundinyota)KaswendeKengeJumuiya ya Afrika MasharikiMuungano wa Madola ya AfrikaMbossoMswakiMaliasiliMaana ya maishaKambaleBiasharaMwenge wa UhuruNomino za pekeeMnazi (mti)StafeliFranco Luambo MakiadiKukuNomino za dhahaniaUmmaKakakuonaWanyaturuSteven KanumbaWanilambaChuiKaraniAdhuhuriUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Msitu wa AmazonNziDamuVirusi vya UKIMWIBBC NewsDaudi (Biblia)Fran BentleyTundaNgw'anamalundiMfumo katika sokaMapinduzi ya ZanzibarNchiTetekuwangaMkoa wa Dar es SalaamArsenal FCBarabara nchini TanzaniaKiraiHafidh AmeirUbaleheRiwayaSahara ya MagharibiAfrika Mashariki 1800-1845JiniMpira wa miguuMlipuko wa virusi vya corona 2019-20Joyce Lazaro NdalichakoUnyanyasaji wa kijinsiaUsultani wa ZanzibarChuo Kikuu cha DodomaOrodha ya Marais wa KenyaNguruweRuge MutahabaTungoMmomonyokoHasiraHomoniMtakatifu MarkoWapareMmeaKito (madini)Majigambo🡆 More