Madini Kito

Kito (pia: johari, jiwe la thamani) ni madini adimu na ngumu zinazopendeza kwa sababu ya uangavu na rangi yake.

Vito mbalimbali vinapendwa na watu na kutumiwa kama mapambo. Kito chenye ugumu na thamani kubwa ni almasi.

Madini Kito
Vito na majina yao ya Kiingereza
"turquoise" ni feruzi; "ruby" ni yakuti;
Madini Kito
Kito cha Zumaridi katika hali asilia pamoja na mwamba wa kawaida

Mara nyingi vinakatwa, kusuguliwa na kung'arishwa kwa namna mbalimbali na kutumiwa pamoja na metali adili kama dhahabu au fedha kuwa mapambo kama pete, hereni, mkufu au bizimu.

Mifano ya vito ni

Lulu na korali hutajwa wakati mwingine pia kama kito ingawa si minerali asilia lakini dutu inayotengenezwa na wanyama.

Madini Kito Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kito (madini) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AlmasiMadiniPamboRangiThamaniWatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ngw'anamalundiViwakilishi vya urejeshiDiniMashuke (kundinyota)KidoleAsiliKilwa KisiwaniLafudhiBarua pepeMwanamkeDar es SalaamVivumishi vya urejeshiIntanetiChe GuevaraUrenoNyanda za Juu za Kusini TanzaniaUkooYoung Africans S.C.TafsiriMitume na Manabii katika UislamuJokate MwegeloUendelevuUgonjwa wa kuharaWilaya ya MboziUyogaUkristoWanyamweziMichael JacksonOrodha ya makabila ya TanzaniaSayansiYesuTungo kishaziNikki wa PiliBikira MariaAsidiInshaHistoria ya IranWikipedia ya KiswahiliMaambukizi nyemeleziDolaMfumo wa upumuajiBungeKampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya MasharikiTendo la ndoaKitenzi kikuu kisaidiziMlongeMuda sanifu wa duniaPaul MakondaReal MadridMuundo wa inshaOrodha ya Marais wa MarekaniJohn Samwel MalecelaShabuViwakilishi vya kumilikiMusaCristiano RonaldoMkoa wa ManyaraMbuga za Taifa la TanzaniaMnyamaMichezo ya watotoUingerezaUkimwiSemiKontuaTashihisiNyotaPesaElibariki Emmanuel KinguMbooLigi Kuu Uingereza (EPL)Julius NyerereNahauBenki ya DuniaOrodha ya mito nchini TanzaniaUbunifuZakayo🡆 More