Hasira

Hasira ni ono linalowapata binadamu na wanyama mbele ya kipingamizi.

Katika hali hiyo mtu hughadhibika, hata kuchukia kwa kupatwa na kitu ambacho yeye mwenyewe hapendi.

Hasira
Hasira ya Akile dhidi ya Agamemnon ilivyochorwa na Giovanni Battista Tiepolo.
Hasira
Hasira.
Vilema vikuu

Mtu mwenye hasira ya mara kwa mara, hushauriwa ajaribu kuepuka mambo au vitu vinavyomuudhi, kwa mfano, anaweza kuondoka mahali penye maudhi, na kama ni kubishana aweze kunyamaza ili kuepukana na ugomvi.

Pia inashauriwa kuwa, kama unajua mwenzio hukasirishwa na kitu fulani, bora usimchokoze, kwa sababu ni hatari kwa maisha yako maana kwa hasira yake anaweza kufanya kitu chochote kibaya.

Isiporatibiwa na mhusika inaweza ikasababisha madhara makubwa, inavyofundisha mithali ya Kiswahili, "Hasira, hasara". Hasira hupelekea mtu kuvunja sheria kwa kujichukulia hatua mkononi na mwishowe kufanya jambo la hatari.

Ndiyo sababu inahesabiwa kati ya vilema vikuu ambavyo ni mizizi ya dhambi nyingine.

Tags:

BinadamuOnoWanyama

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MalawiSilabiDhahabuBustani ya EdeniNenoMkoa wa Dar es SalaamLughaJulius NyerereDakuMikoa ya TanzaniaKoreshi MkuuBinamuWiktionaryUfaransaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaNyasa (ziwa)WanyakyusaKaramu ya mwishoUmoja wa AfrikaUkabailaEe Mungu Nguvu YetuManiiBendera ya TanzaniaHistoria ya WasanguSakramentiAzimio la ArushaJoseph Leonard HauleKamusi ya Kiswahili sanifuVielezi vya idadiYoweri Kaguta MuseveniRita wa CasciaNyanda za Juu za Kusini TanzaniaMkoa wa KigomaIsimujamiiMkoa wa TangaSumakuSteven KanumbaKishazi tegemeziNdoo (kundinyota)Mike TysonAnna MakindaHaki za watotoUyahudiMaradhi ya zinaaMahakamaKupatwa kwa JuaUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius NyerereTashtitiMashuke (kundinyota)WahaUkristoKondoo (kundinyota)TwigaKisiwa cha MafiaPijini na krioliWayback MachineWhatsAppMlo kamiliVidonge vya majiraSikioJamhuri ya Watu wa ChinaMaambukizi nyemeleziMkoa wa ArushaOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaSabatoMakabila ya IsraeliTashihisiOrodha ya miji ya MarekaniMwanaumeOrodha ya programu za simu za WikipediaTesistosteroni🡆 More