Daku ni chakula maalumu ambacho huliwa na Waislamu wakati wa mfungo wa mwezi Ramadhani.
Chakula hicho huliwa usiku wa manane ili kupata nguvu ya kufanya kazi wakati wa mchana baada ya kufunga tangu alfajiri.
Mara nyingi chakula hicho huwa ni:
Inawezekana jina limetokana na neno la Kiarabu linalomaanisha "tangazo", kwa sababu kuna desturi ya kuamshana ili kula daku kabla ya nuru ya jua kuanza kuonekana.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Daku, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.