Ziwa Viktoria: Ziwa katika Afrika ya Mashariki-Kati

Ziwa Viktoria (pia: Ziwa Nyanza au Ziwa Ukerewe) ni ziwa kubwa la Afrika ya Mashariki lililopo baina ya Tanzania, Kenya na Uganda.

Eneo la maji ya ziwa limegawanywa 49% (km2 33,700) nchini Tanzania, 45% (km2 31,000) nchini Uganda, na 6% (km2 4,100) nchini Kenya.

Ziwa la Viktoria Nyanza
Ziwa Viktoria Nyanza jinsi linavyoonekana kutoka angani
Ziwa Viktoria Nyanza jinsi linavyoonekana kutoka angani
Mahali Afrika ya Mashariki
Nchi zinazopakana Tanzania, Uganda na Kenya
Eneo la maji 68,100 km²
Kina cha chini 81 m
Mito inayoingia Kagera, mto Katonga, mto Nzoia n.k.
Mito inayotoka Nile
Kimo cha uso wa maji
juu ya UB
1,134 m
Miji mikubwa ufukoni Kampala, Kisumu, Mwanza
Ziwa Viktoria: Visiwa vya Ziwa Viktoria, Tazama pia, Viungo vya nje
Ziwa Viktoria na Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.
Ziwa Viktoria: Visiwa vya Ziwa Viktoria, Tazama pia, Viungo vya nje
Ongezeko la msongamano wa watu kandokando ya Ziwa Victoria.
Ziwa Viktoria: Visiwa vya Ziwa Viktoria, Tazama pia, Viungo vya nje
Lugha kandokando ya Ziwa Victoria.
Ziwa Viktoria: Visiwa vya Ziwa Viktoria, Tazama pia, Viungo vya nje
Tofauti ya levo katika Ziwa Victoria.
Ongezeko la msongamano wa watu kandokando ya Ziwa Victoria likilinganishwa na lile la Afrika nzima.
Ongezeko la msongamano wa watu kandokando ya Ziwa Victoria likilinganishwa na lile la Afrika nzima.

Ziwa Viktoria lipo mita 1134 juu ya usawa wa bahari na lina eneo la kilometa za mraba zaidi ya 68,100. Hivyo ni ziwa kubwa kuliko yote barani Afrika, na la pili duniani, baada ya Ziwa Superior ambalo lipo Amerika ya Kaskazini.

Ziwa hili linapata maji yake mengi kutokana na mvua (80%) na kutoka vijito vingi vidogo. Mto mkubwa unaoingia Viktoria ni Mto Kagera unaotiririka kutoka magharibi.

Maji ya ziwa Viktoria yanatoka na kumiminika kwenye mto Nile na kuelekea bahari ya Mediteranea kwa umbali wa maili 4,000.

Ziwa hilo lina kina cha wastani cha mita 40 na mwambao wa urefu wa kilomita 4,828, visiwa vyake vikiwa vimechangia 3.7% ya urefu huu.

Ziwa hilo liliwahi kukauka kabisa mara kadhaa tangu lilipoanza miaka 400,000 iliyopita.

Visiwa vya Ziwa Viktoria

Ziwa Viktoria ni miongoni mwa maziwa yenye visiwa vingi (985). Kikubwa kuliko vyote ni Ukerewe.

Upande wa Kenya

Bihiri * Chamarungo * Daraja * Gengra * Hongwe * Ilemba * Kijani * Kimaboni * Kiringiti * Kiwa * Koyamo * Mageta * Magogo * Maiunya * Mbaiyu * Mbasa * Mfangano * Migingo * Mlinzi * Mogare * Mogare (visiwa) * Mzenzi * Namulamia * Ndede * Ngodhe * Piramidi * Risi * Rusinga * Saga * Seki * Sifu * Sirigombe * Sukuru * Sumba * Takawiri * Visiwa vya Ugingo * Unyama * Usingo * Uware * Wahondo * Wayaga * Yalombo * Yamburi

Upande wa Tanzania

Barega *Bihila * Bisuvi *Biswe * Buganbwe * Bugeru * Bukerebe * Bukurani * Bumbire * Burubi * Busonyi * Busyengere * Butwa * Buzumu * Bwiru * Capripoint * Chakazimbe * Charaki * *Chienda * Chihara * Chikonero * Chinyeri * Chitandere * Dunacheri * Dwiga * Galinzira (Kagera) * Galinzira (Ukerewe) * Gama * Gana * Igombe * Ijirambo * Ikuru * Ikuza * Ilemela* Iriga * Iroba * Irugwa * Iruma * Itami * Itemusi * Ito * Juguu * Juma * Kagongo * Kamanga * Kamasi * Kaserazi * Kasima * Kategurwa * Kiamugasire * Kiau * Kibinda * Kihombe * Kinamogwishu * Kinyanwana * Kiregi * Kireta * Kishaka * Kitua * Kivumba * Kome * Kuriro * Kweru * Kweru Mutu * Kwigari * Kwilela * Liagoba * Liegoba * Luanji * Lukuba * Lyamwenge * Mabibi * Mafunke * malimbe *Maisome * Makibwa * Makome * Makove * Malelema * Maremera * Masakara * Masheka * Masuha * Mazinga * Mgonchi * Miganiko * Mijo * Morova * Mraoba * Msalala * Mtenga * Mtoa * Mtoto * Musira * Mwengwa * Nabuyongo * Nafuba * Nakaranga * Namatembe * Namguma * Ndarua * Nyabugudzi * Nyaburu * Nyajune * Nyakanyanse * Nyakasanga * Nyamasangi * Nyambugu * Nyamikongo * Nyanswi * Raju * Ramawe * Rubisho * Rubondo * Runeke * Ruregaja * Rwevaguzi * Saanane * Sara * Sata * Seza * Shuka * Siawangi * Sina * Sizu * Songe * Sosswa * Sozihe * Tefu * Ukara * Ukerewe * Usumuti * Vsi * Vianza * Wambuji * Yarugu * Yodzu * Zeru * Zimo * Zinga * Ziragura * Zue

Upande wa Uganda

Baga, Banda, Batwala, Bu, Bubeke, Bubembe, Bufumira, Bugaba, Bugaia, Bugala (lat -0,32, long 32,24), Bugala (lat -0,64, long 32,31), Buiga (Mpigi), Buiga (Wakiso), Bukasa, Bukone, Bukwaya, BulagoBulanku, Bulingugwe, Bunjako, Bunjazi, Bunyama, Bussi, Busungwe, Buturume, Buvu, Buvuma, Buyange, Buyovu, Buziranjovu, Buziri, Bwema, Bwigi, Dagusi, Damba, Dinzira, Duweru, Dwanga Mukulu, Dwanga Muto, Dwasendwe, Dyabalume, Funve, Galo, Ikunyu, Iramba, Isamba, Izinga, Jana, Kabaganja, Kabale, Kabuguza,Kabulataka, Kagulumu, Kaina, Kaivali, Kalambide, Kamukulu, Kamutenga, Kansove,Kaserwa, Katanga, Kayanja, Kaza, Kerenge, Kibibi, Kibibi Kaskazini, Kibibi Kusini, Kimi, Kiraza, Kiregi, Kirugu, Kisima, Kitobo, Kiwa, Komogwe, Koome, Kuiye, Kyanga, Lambu, Lebu, Limaiba, Linga, Lingira, Lolui, Lufu, Lujabwa, Lukalu, Luke, Lukiusa, Lula, Lulamba, Lulanda, Lumva, Lunfuwa, Lunkulu, Luntwa, Luserera, Luvangu, Luvia, Luwungulu, Lwabagenge, Lwabalega, Lwabana, Lwaji, Lwantete, Lyabana, Mabanda, Makalugi, Makusu, Marija, Masiwa, Masovwi, Maundu, Maungwe, Mavi, Mawe, Mayinja, Mbirubuziba, Mbive, Mbulamwalo, Meru, Mitusi, Mkovu, Mpande, Mpata, Mpuga, Mpugwe, Mpuni, Mukalanga, Munene, Musambwa, Musambwa Kusini, Musene, Mutyomu, Mwama, Mwana, Mweza, Nagembiruwa, Nainaivi, Namalusu, Namama, Namasimbi, Nambewa, Nambuga, Namite, Namubega, Nfo, Ngabo, Ngamba, Nkata, Nkese, Nkose, Nkusa (Kalangala), Nkusa (Mukono), Nkusa (Wakiso), Nkuzi, Nsadzi, Nsenyi, Nsimba, Nsinga, Nsirwe, Nsonga, Ntokwe, Nvuza, Nyenda, Nziribanje, Ramafuta, Sagitu, Sali, Samoka, Sanga (Buvuma), Sanga (Mukono) (lat -0,07, long 32,80), Sanga (Mukono) (lat 0,08, long 32,65), Segamba, Sege, Semuganja, Semuganja Omunene, Semuganja Omutono, Sentwe, Serinya, Sese, Sigulu, Simu,Sindiro, Sira, Siro, Sowe, Tavu, Visa, Vumba, Wabuziba, Waiasi, Waitwe, Yubwe, Yuweh|, Zigunga, Zigunga Pacha, Zinga, Ziro, Ziru (Buvuma) (lat -0,09, long 33,21), Ziru (Buvuma) (lat 0,05, long 32,98), Ziru (Kalangala)

Tazama pia

Viungo vya nje


Ziwa Viktoria: Visiwa vya Ziwa Viktoria, Tazama pia, Viungo vya nje  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Viktoria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Ziwa Viktoria Visiwa vya Ziwa Viktoria Tazama piaZiwa Viktoria Viungo vya njeZiwa Viktoria%Afrika ya MasharikiKenyaMajiTanzaniaUgandaZiwa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Martha MwaipajaIdi AminWajitaMsokoto wa watoto wachangaKiimboMafurikoChuo Kikuu cha PwaniMkoa wa KageraBaruaKukuNandyUingerezaHaki za binadamuMishipa ya damuJinsiaKilimanjaro (volkeno)Wema SepetuKata za Mkoa wa MorogoroUzalendoKalenda ya KiislamuIsimilaMpira wa miguuShambaLenziMikoa ya TanzaniaUhifadhi wa fasihi simuliziWimboUkristo nchini TanzaniaUgonjwa wa kuharaChelsea F.C.Mpira wa kikapuBabeliNguzo tano za UislamuVita vya KageraStafeliVieleziKina (fasihi)UtumwaNduniSarangaTeknolojiaAli Hassan MwinyiIyumbu (Dodoma mjini)Roho MtakatifuJumuiya ya Afrika MasharikiIntanetiUzazi wa mpangoSayansiShangaziMabiboMaajabu ya duniaUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaLigi ya Mabingwa UlayaMickey MouseYoung Africans S.C.WairaqwMapenziVivumishiUandishi wa ripotiBunge la TanzaniaMavaziImaniDhamiraInshaKiambishi tamatiJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKamusi ya Kiswahili - KiingerezaMimba kuharibikaOrodha ya vitabu vya BibliaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaWilaya ya MeruMichezoUaminifuKishazi huru🡆 More