Maili

Maili ni kipimo cha urefu.

Si kipimo sanifu cha kimataifa SI bali ni kizio cha vipimo vya Uingereza. Zamani ilitumiwa sana lakini siku hizi matumizi yamepungua sana.

Maili si kipimo sanifu cha kimatifa hivyo urefu wa maili moja ni tofauti kati ya nchi na nchi hata kama ni maili ya nchi kavu au maili ya baharini.

Hadi leo inatumiwa katika nchi zinazotumia lugha ya Kiingereza ingawa hizi zote zinaelekea kubadilisha au zimeshabadilisha tayari kawaida yao kwa kutumia kilomita. Ila tu watu wamezoea maili sana wakiendelea kuitumia.

Maili ya Kiingereza ina futi 5,280 au mita 1,609.

Maili ya baharini ni mita 1,852.

Maili asilia

Asili ya maili ni kawaida ya Waroma wa Kale. Walitumia kipimo cha milia passuum (=hatua 1000) kwa kupima urefu wa mbali.

"Milia" hii ilikuwa sawa na futi za Kiroma 5,000. Kipimo hiki cha Kiroma kilingia katika vipimo vya mataifa ya Ulaya.

Tags:

KizioSI

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Haki za watotoKiungo (michezo)Baraza la mawaziri TanzaniaViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Mkoa wa KageraViunganishiKiraiMkoa wa SingidaBrazilKrismasiArsenal FCChombo cha usafiriNgono zembeInshaKipindi cha PasakaNairobiMitume na Manabii katika UislamuJiniOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaHaki za binadamuKumaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaUgonjwa wa kuharaKylian MbappéMtende (mti)KuhaniOrodha ya maziwa ya TanzaniaMusuliNomino za dhahaniaUjimaKaswendeSkautiHaikuEkaristiHafidh AmeirSaratani ya mlango wa kizaziJamhuri ya Watu wa ZanzibarUbaleheMazingiraWalawi (Biblia)Orodha ya miji ya MarekaniUNICEFBasilika la Mt. PauloMofimuBabeliMkoa wa Unguja Mjini MagharibiLigi Kuu Tanzania BaraUsawa (hisabati)Bahari ya HindiMamlaka ya Mapato ya TanzaniaVivumishi vya sifaMaudhuiMafuta ya wakatekumeniMuhammadKalenda ya KiislamuUpendoKitovuUaBinamuUtamaduni wa KitanzaniaUkristoMkoa wa MwanzaHistoria ya WasanguMpira wa miguuMatamshiKamusi ya Kiswahili sanifuMkoa wa RukwaMtakatifu PauloItikadiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniPunyetoUtamaduniUgaidiAina za manenoNahauOrodha ya viongozi🡆 More