Ujima

Ujima ni mfumo wa mwanzo wa kiuchumi na kiutawala hapo zamani binadamu walipotumia silaha za mawe na moto wa kupekecha.

Pia ujima ulikuwa na mgawanyo wa kazi mzuri, kwa mfano vijana na wanaume walifanya kazi, kumbe wazee na watoto hawakufanya kazi.

Kwa jumla watu walifanya kazi kwa kushirikiana bila ubaguzi wala matabaka. Katika ujima waliweza kuishi kwa kupendana kuliko katika mifumo ya baadaye.

Pia kuna mifumo mingine ambayo ilikuja ukawa mzuri zaidi kama ubugabire: huo mfumo ulikuwa bora kwa sababu mtu alikuwa akiwekeza ng`ombe zikimaliza mwaka anapokwenda kuchukua lazima amuachie baadhi ya mifu.

Ujima Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ujima kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BinadamuMaweMotoSilaha

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

FasihiOrodha ya milima ya TanzaniaWasukumaKiungujaUgandaSomo la UchumiMtaalaNguzo tano za UislamuMbuga za Taifa la TanzaniaKing'amuziUandishi wa ripotiRayvannyKinjikitile NgwaleMartha MwaipajaKamusi ya Kiswahili sanifuAnwaniIsraelViwakilishi vya sifaSanduku la postaUhuru wa TanganyikaNzigeKichochoKidole cha kati cha kandoJohn MagufuliMkoa wa PwaniPunyetoDaktariMpira wa mkonoChupaOrodha ya viongoziAli Hassan MwinyiMapambano kati ya Israeli na PalestinaKilwa KisiwaniTungo kiraiMapinduzi ya ZanzibarKito (madini)WaarushaKamusi za KiswahiliMshororoNomino za jumlaVivumishi vya kuoneshaTupac ShakurUgonjwa wa kuharaSilabiAlmasiHadhiraHadithi za Mtume MuhammadBahashaBurundiMatiniKipindupinduWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiNguvaFani (fasihi)AlomofuMkoa wa MaraUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaSaidi Salim BakhresaVirusi vya CoronaMusaKata za Mkoa wa Dar es SalaamMandhariBendera ya ZanzibarTarakilishiLuhaga Joelson MpinaPamboC++ViganoUtohoziFamiliaHali ya hewaVivumishi vya kumilikiMkoa wa TaboraWanyamaporiMashariki ya KatiMtoto🡆 More