Vipimo Sanifu Vya Kimataifa

Vipimo sanifu vya kimataifa (kwa ing.

Vizio vya kimsingi vya SI
Alama Jina Inataja
s sekunde wakati
m mita urefu
kg kilogramu masi
A ampea mkondo wa umeme
K kelvini halijoto
mol moli kiasi cha dutu
cd kandela mwangaza

Maendeleo na matumizi ya utaratibu huo huangaliwa na Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo.

Mfumo huu unatumia vizio saba vya kimsingi pamoja na viambishi awali 20 kwa kutaja vigawe au sehemu za vizio hivi katika mfumo wa viambishi awali vya vipimo sanifu vya SI.

Vizio vya kimsingi ni:

Vizio vyote vingine kama vile eneo, kani, shinikizo au ukinzani kiumeme vinatokana na vizio asilia.

Vipimo hivi hutumika na wanasayansi kote duniani vimeenea pia katika bishara na ufundi. Hata hivyo katika maisha ya kawaida kuna vipimo mbalimbali vinavyoweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi.

Tazama pia

Tags:

Far.Ing.KizioOfisi ya Kimataifa ya Vipimoen:International system of measurements

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kichomi (diwani)Maambukizi ya njia za mkojoMaharagweMeno ya plastikiFasihiHedhiTanzaniaKiranja MkuuDhambiOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaDubai (mji)MadiniMaambukizi nyemeleziDaftariDiplomasiaUbunifuKishazi huruAina za manenoSomaliaAzimio la ArushaNenoUpendoChuiLGBTVivumishi vya pekeeHali maadaSalaVivumishi vya -a unganifuMusaMakkaSoko la watumwaFMKwaresimaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziUbatizoPumuMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiAina za udongoTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaMalipoMkoa wa RuvumaKiambishiSimu za mikononiVieleziVasco da GamaTausiLugha ya kigeniMsengeBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiMaajabu ya duniaAsidiWapareHadhiraKanga (ndege)Kumamoto, KumamotoUmoja wa AfrikaWaarabuMarekaniVivumishi vya urejeshiHistoria ya KiswahiliUlayaLugha ya taifaTheluthiKoalaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaKenyaBibliaHadithiMbossoKabilaDhahabuNambaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarKengeMboo🡆 More