Theluthi (kutoka neno la Kiarabu ثلث thulth; pia thuluthi) ni namba wiano inayotaja sehemu ya tatu ya jumla fulani.
Theluthi tatu zinafanya 1.
Inaweza kuandikwa kama au 1/3.
Kama desimali inakaribia 0.33333333333.
Inalingana na takriban 33.33%.
Hesabu: (1 ⁄ 3) · ((100 ⁄ 3) ⁄ (100 ⁄ 3)) = (100 ⁄ 3) ⁄ 100 ≈ 33.33 ⁄ 100 ≈ asilimia 33.33.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Theluthi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Theluthi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.