Kadi Za Mialiko

Kadi za mialiko ni barua au kadi ziandikwazo kwa dhumuni la kumwalika mtu ahudhurie sherehe au kikao fulani.

Kadi Za Mialiko
Mwaliko wa Abigail Adams, mke wa rais wa Marekani, 1801.

Mambo muhimu ya kuzingatia katika uandishi wa kadi za mialiko ni:

  • 1, jina la mwandishi na anwani yake.
  • 2, jina la mwandikiwa.
  • 3, lengo la mwalikaji kwa ufupi.
  • 4, tarehe ya mwaliko.
  • 5, mahali pa kukutana.
  • 6, wakati wa kukutana.
  • 7, jibu lipelekwe kwa nani.

Mfano wa kadi ya mwaliko ni hii: Bw. na bi. Kiiza Karugaba wa Bukoba Karagwe wanayo furaha kuwaalika Bw. na Bi., Dr., Mch., Prof. Kelvin Radius kwenye sherehe ya arusi yao itakayofanyika tarehe 17-01-2018 kwenye kanisa la Mt. Josephine Bakhita, Nanenane, saa tisa alasiri, na baadaye nyumbani kwao Bukoba Karagwe saa mbili usiku. Jibu kwa Felix Macheo, S.L.P. 30675 Bukoba.

Kadi Za Mialiko Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kadi za mialiko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BaruaSherehe

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

TabianchiTausiBiblia ya KikristoHussein Ali MwinyiVita ya uhuru wa MarekaniArudhiNguruwe-kayaViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Nomino za kawaidaHadhiraKiboko (mnyama)MafarisayoOrodha ya Magavana wa TanganyikaUbunifuVitenzi vishirikishi vikamilifuAdhuhuriOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaYouTubeInsha ya wasifuMohamed HusseiniDuniaTreniMichael JacksonZiwa ViktoriaBenki ya DuniaViwakilishi vya sifaSaida KaroliHisiaMkoa wa PwaniMuundo wa inshaMuhammadSinzaAfrika KusiniArsenal FCMnara wa BabeliMkutano wa Berlin wa 1885LahajaBaraza la mawaziri TanzaniaVivumishi vya jina kwa jinaMpwaMmeaJamiiHistoria ya KenyaWikipediaMapenzi ya jinsia mojaMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaUzalendoRwandaStafeliOrodha ya Marais wa MarekaniWakaguruKhadija KopaWajitaTume ya Taifa ya UchaguziUshairiRoho MtakatifuWangoniMitume na Manabii katika UislamuOrodha ya makabila ya TanzaniaNangaUkoloniHistoria ya BurundiMaana ya maishaJamhuri ya Watu wa ChinaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniUfilipino24 ApriliKumaKifua kikuuTungo sentensiMohammed Gulam DewjiNusuirabuLugha ya taifa🡆 More