Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Barua" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Barua ni ujumbe wa kimaandishi unaotumwa kwa mtu mwingine au watu wengine. Inawezekana kumwachia mtu ujumbe wa kimaandishi yaani barua mahali fulani lakini... |
Barua pepe ni ujumbe unaotumwa kwa njia ya intaneti au mtandao mwingine wa kielektroniki. Barua pepe ni huduma ya intaneti, tena kati ya huduma za intaneti... |
Barua rasmi ni barua ambazo zinahusu mambo ya kiofisi kama vile taarifa za mikutano, kuomba kazi, kuagiza vifaa vya shughuli nyingine rasmi. Barua rasmi... |
Barua taka (kwa Kiingereza: email spam au junk email) ni barua pepe ambayo hatutaki kuipokea. Kisanduku cha barua kinatuma barua taka ndani ya kisanduku... |
Kisanduku cha barua au kisanduku (kwa Kiingereza: email inbox) ndani ya kompyuta ni pahali ambapo barua pepe zinapelekwa. Barua pepe zote za mtu mmoja... |
Barua ya kujiuzulu ualimu ya Julius Kambarage Nyerere ilikuwa barua ya kuacha kazi ya ualimu katika shule ya Mtakatifu Francis, Pugu, Dar es Salaam. Hotuba... |
Mto Barua unapatikana katika kaunti ya West Pokot nchini Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki). Maji yake yanaishia katika ziwa Turkana. Mito... |
Waraka kwa Waefeso (elekezo toka kwa Barua kwa Waefeso) Barua kwa Waefeso ni kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya ambalo pamoja na Agano la Kale linaunda Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia... |
Uandishi wa barua ya simu ni njia mojawapo ya mawasiliano ya haraka baina ya watu. Waandikiwa hupata taarifa haraka ukilinganisha na barua za kawaida,... |
kutenganisha barua zinazopokelewa kufuatana na mahali zinapotumwa. Si lazima tena mfanyakazi wa posta ajue mahali pengi inatosha kugawa barua kufuatana na... |
Posta ni mfumo wa kusafirisha barua na vifurushi kwa wapokeaji. Kuna makubaliano ya kimataifa ya Umoja wa Posta Duniani (Universal Postal Union) yanayounda... |
Waraka wa kwanza kwa Wathesaloniki (elekezo toka kwa Barua ya kwanza kwa Watesalonike) kwa Wathesalonike ni kitabu cha Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Ni barua iliyoandikwa na Paulo wa Tarso kwa Wakristo wa mji wa Thesaloniki katika... |
Waraka wa kwanza kwa Wakorintho (elekezo toka kwa Barua ya kwanza kwa Wakorintho) Barua ya kwanza kwa Wakorintho ni kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa... |
Waraka wa pili kwa Wathesaloniki (elekezo toka kwa Barua ya pili kwa Wathesalonike) Wathesalonike ni kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Ni barua ya Paulo wa Tarso kwa ushirika wa Wakristo katika mji wa Thesalonike (Ugiriki... |
Waraka kwa Wakolosai (elekezo toka kwa Barua kwa Wakolosai) wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu. Barua hiyo ni mojawapo kati ya zile za mwishomwisho za Mtume Paulo na inaonyesha... |
Waraka wa pili kwa Wakorintho (elekezo toka kwa Barua ya pili kwa Wakorintho) kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Ni kati ya barua mbili zilizomo za Mtume Paulo kwa Wakristo mjini Korintho (Ugiriki). Kama... |
tano. Nia ni kuwa kila barua inayotumwa nchini Tanzania ionyeshe namba hiyo juu ya bahasha yake kama sehemu ya anwani ya barua au kifurushi ili kurahisisha... |
Waraka kwa Wagalatia (elekezo toka kwa Barua kwa Wagalatia) Barua kwa Wagalatia ni kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe... |
Barua za Shaaban Robert 1931-1958 ni mkusanyo wa barua zipatazo kama mia moja ambazo zilihifadhiwa na Yusuph Ulenge kwa zaidi ya miaka sitini kabla ya... |
Waraka kwa Waebrania (elekezo toka kwa Barua kwa Waebrania) Barua kwa Waebrania ni kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe... |