Tarehe:

Tarehe (kutoka Kiarabu تاریخ tarih kwa maana ya historia) ni namna ya kutaja historia, lakini kwa kawaida zaidi nafasi ya siku fulani ndani ya mfumo wa kalenda.

Kwa kawaida tarehe inarejelea kalenda ya Gregori. Lakini ilhali kuna kalenda mbalimbali inawezekana kutaja na tarehe tofauti kwa siku ileile kutegemeana na kalenda inayorejelewa.

Tarehe za siku - mwezi - mwaka

Tarehe hutaja mara nyingi sifa tatu za siku fulani:

Mfano: Sikukuu ya kwanza ya Jamhuri nchini Kenya ilitokea tarehe 12 Desemba 1963.

Tarehe za siku ya wiki

Hasa katika biashara kuna pia namna tofauti ya kutaja tarehe kwa namba ya siku katika wiki halafu namba ya wiki katika mwaka. Mfumo huu unategemea mapatano katika nchi kuhusu namna ya kuhesabu siku, ipi ni siku ya kwanza na wiki gani ni wiki ya kwanza.

Tarehe kutegemeana na sikukuu

Katika dini kuna pia namna ya kutaja tarehe kufuatana na sikukuu na hii kawaida katika mwaka wa liturujia katika makanisa mengi. Hapa kuna hesabu za Jumapili katika vipindi kama Kwaresima au Adventi, au baada ya sikukuu muhimu.

Mifano:

  • Jumapili ya tatu baada ya Pasaka
  • Jumapili ya kwanza ya Adventi

Tarehe mbalimbali kandoni

Katika nchi ambako zinatumika kalenda za kitaifa zilizo tofauti na Kalenda ya Gregori ni kawaida kuonyesha kalenda kandoni. Kwa mfano nchini Iran mwaka unaanza kwa tarehe 1 mwezi wa Farwardin ambayo kwa kawaida ni sawa na 21 Aprili. Hivyo tarehe ya Kiirani 23 Farwardin 1396 ni sawa na tarehe 11 Aprili 2017. Ilhali nchini Iran hesabu ya kalenda ya Kiislamu ni muhimu kwa sikukuu za kidini kalenda za huko huonyesha pia tarehe ya tatu yaani 14 Rajabu 1438.

Kwa jumla nchi kadhaa za Kiislamu hutumia kalenda ya Kiislamu kando ya kalenda ya kimataifa ya Gregori.

Hii inafanana na nchi ya Israeli ambako tarehe za kalenda ya Kiyahudi zinaonyeshwa mara nyingi pamoja na tarehe za kalenda ya Gregori.

Tanbihi

Viungo vya Nje

Tags:

Tarehe za siku - mwezi - mwakaTarehe za siku ya wikiTarehe kutegemeana na sikukuuTarehe mbalimbali kandoniTarehe TanbihiTarehe Viungo vya NjeTareheHistoriaKalendaKiarabuSiku

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Marais wa MarekaniMkuu wa wilayaMaji kujaa na kupwaUandishiKilimoKiumbehaiVivumishi vya sifaMadawa ya kulevyaPasakaPentekosteUtamaduniMkoa wa TaboraAfrika ya MasharikiKalenda ya KiislamuKanda Bongo ManMilaVipera vya semiVisakaleKamusiOrodha ya Watakatifu WakristoMkoa wa Unguja Mjini MagharibiPaul MakondaMandhariVidonda vya tumboShangaziAgano la KaleMbuniHaki za wanyamaFasihiLongitudoAthari za muda mrefu za pombeKata za Mkoa wa MorogoroMfumo wa JuaTafakuriOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoHistoria ya Kanisa KatolikiShairiMasafa ya mawimbiUingerezaElimuPalestinaPamboArsenal FCWashambaaMizimuTulia AcksonUsanifu wa ndaniDemokrasiaTabataMkanda wa jeshiUDAUjimaZiwa ViktoriaMtaalaKipindupinduUhakiki wa fasihi simuliziAlfabetiUgandaMsamahaUkooKata za Mkoa wa Dar es SalaamImaniAbrahamuMtume PetroRita wa CasciaMashuke (kundinyota)MshororoUmaskiniMillard AyoKiarabuUandishi wa barua ya simuMisimu (lugha)🡆 More