Rais

Rais (kutoka Kiarabu: رئیس) ni cheo cha mkuu wa nchi katika serikali ya jamhuri, na pengine mkuu wa taasisi fulani (mwenyekiti).

Rais
Rais wa Tanzania, John Magufuli (Kulia) akiwa na Dr. Salem Al Ismaily wa Oman

Rais wa nchi huwa anachaguliwa ama na wananchi wote au na bunge. Katika nchi kadhaa kuna pia mkutano maalumu unaoitishwa kwa uchaguzi wa rais pekee, kama vile Marekani au Ujerumani .

Kuna aina mbili za rais kufuatana na katiba za nchi mbalimbali:

Katika muundo wa serikali ya kibunge shughuli za serikali zinasimamiwa na waziri mkuu. Madaraka ya rais katika muundo huo hufanana na madaraka ya mfalme wa kikatiba isipokuwa hayupo kama rais kwa muda wa maisha yake kama mfalme.

Katika nchi chache, yaani Uswisi, San Marino na Uruguay, kazi za rais hazitekelezwi na mtu mmoja bali na kamati ya viongozi kwa ujumla, kama Halmashauri ya Shirikisho ya Uswisi.

Marejeo

Tags:

CheoJamhuriKiarabuMwenyekitiSerikaliTaasisi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

IsraelVivumishi ya kuulizaTanganyika (ziwa)Matumizi ya LughaAyoub LakredKengeWahuniMamba (mnyama)Orodha ya waandishi wa TanzaniaWema SepetuKiolezoMsitu wa AmazonUtitiri (Arithropodi)MshubiriWasukumaHarmonizeFatma KarumeVivumishi vya jina kwa jinaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaWilaya ya TunduruFani (fasihi)ZuchuMazungumzoOrodha ya milima mirefu dunianiTrilioniWatakatifu wa Agano la KaleOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMuungano wa Madola ya AfrikaSteven KanumbaSanamu ya AskariMafarisayoVita Kuu ya Kwanza ya DuniaMkoa wa Dar es SalaamKaramaHifadhi ya Taifa ya NyererePentekosteUfaransaUfahamuOrodha ya Magavana wa TanganyikaInshaUwanja wa Taifa (Tanzania)KiingerezaFamiliaShinaUturukiLingua frankaShuleNamba za simu TanzaniaOrodha ya milima ya TanzaniaDodoma (mji)ChumaKusiniSimba (kundinyota)Mimba kuharibikaDubai (mji)Mkoa wa MbeyaUbongoOrodha ya makabila ya TanzaniaTabianchiMkoa wa TaboraOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaMitume na Manabii katika UislamuMziziAzam F.C.MahakamaUmoja wa MataifaNyaraka za KichungajiArnold SchwarzeneggerInjili ya MathayoMoses Kulola🡆 More