Madaraka ni uwezo ambao mtu hupewa ili kuongoza kundi fulani la watu.
Madaraka hayo huweza kufikia kuwa ya kuongoza kundi kubwa la watu au hata nchi nzima.Uongozi unaweza kuwa ni wa mtu mmoja mmoja au wa kundi kubwa la watu.
Madaraka hutolewa kwa njia mbili ambazo ni kuteuliwa au kuchaguliwa. Uongozi wa kuchaguliwa hupatikana kwa kupiga kura huku uongozi wa kuteuliwa ukipatikana kwa kuteuliwa.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Madaraka, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.